Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
well done SG,Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Nchimbi ambaye pia ni mgombea Mwenza wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao amesema hayo wakati anazungumza na wananchi waliojitokeza kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Masasi mkoani Mtwara.
Hvi bado wanamwita dockaKatibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Nchimbi ambaye pia ni mgombea Mwenza wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao amesema hayo wakati anazungumza na wananchi waliojitokeza kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Masasi mkoani Mtwara.
Kuoba kura siyo kushinda. Ipo siku kila mtu atakosa ndiyo CCM watakaa chini.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Nchimbi ambaye pia ni mgombea Mwenza wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao amesema hayo wakati anazungumza na wananchi waliojitokeza kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Masasi mkoani Mtwara.
nakazia hapa👿 bila reform hakuna uchaguzi!!SSH awaambie ukweli wenzake, mwaka huu hakuna uchaguzi.
Ni tapeli fulani wa kwenye mfumoDokta mzima anaongea habari za ushindi wa ccm kwa kishindo wakati anaona hakuna upinzani, hii si ni kejeli kwa wananchi? Labda awaambie wana ccm tu
Kwani CCM inashindana na nani? Hivyo vyama fake 17 ambavyo inavyovifadhili? Kama mna ubavu shindaneni na CHADEMA kwa hayo muone jinsi mtakavyo garagazwa. Mnajua kuwa huu sio uchaguzi, ni uchafuzi kama ulivyowahi kutokea, Mnasaidiwa na Msajili fake wa vyama, Polisi, jeshi, Magereza, tume fake mnaita INEC yenye makada tupu wa CCM, wakurugenzi na wasimamizi mchongo, pamoja na hao wote, mnashindwa. Tumeona polisi wanaleta kura kwenye vibegi na kuweka kwenye maboksi, polisi wengine wanakimbia na masanduku ya kura. kwenye kuhesabu ni kawaida kuona vyama vya upinzani wanafungiwa nje.Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Dkt. Nchimbi ambaye pia ni mgombea Mwenza wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao amesema hayo wakati anazungumza na wananchi waliojitokeza kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Masasi mkoani Mtwara.
Naunga mkono hoja, huu ni ukweli bayana. Ushindi huu akina sisi tuliisha utangaza kitambo!. Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema chama hicho tayari kimejipanga kushinda kwa kishindo katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Dkt. Nchimbi ambaye pia ni mgombea Mwenza wa CCM katika uchaguzi mkuu ujao amesema hayo wakati anazungumza na wananchi waliojitokeza kumlaki katika Uwanja wa Ndege wa Masasi mkoani Mtwara.
Endelea kujipendekeza unaweza ukapewa ukuu wa wilaya ya Ubungo. Kwani CCM wanashindana na nani????? Salum Mwalimu, mzee wa Ubwabwa aliyekiri kuwa wanapewa hongo na CCM? Project ya CCM ya vyama 17 including ACT-wazalendo kuna asiyejua, labda asiye na akili. Paskali wewe unajua yote lakini unanyamaza kwa sababu wewe ni mfaidika wa system. Bottom line ni kuwa hakuna uchaguzi hapa Tanzania......CCM inashindana na nani? Kama wana ubavu wamtoe SIMBA waliyemfunga kwa makosa ya mchongo, ingawa maza kaanza kampeni, uone watakavyogaragazwa.Naunga mkono hoja, huu ni ukweli bayana
P
Police wanakimbia na masanduku ya kura, wakifukuzwa wanapiga risasi za moto, wamepanick.Akili zao zinawazaga mwisho wake hapo, kuiba na kishindo tu
Hiki unachouliza, wengi wenu mnaishia tu humu mitandaoni, angalia sisi wengine tumewatuma kina nani na kupelekea salaam kwa nani ! GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguziKwani CCM wanashindana na nani????? Salum Mwalimu, mzee wa Ubwabwa aliyekiri kuwa wanapewa hongo na CCM? Project ya CCM ya vyama 17 including ACT-wazalendo kuna asiyejua, labda asiye na akili. Paskali wewe unajua yote lakini unanyamaza kwa sababu wewe ni mfaidika wa system. Bottom line ni kuwa hakuna uchaguzi hapa Tanzania......CCM inashindana na nani? Kama wana ubavu wamtoe SIMBA waliyemfunga kwa makosa ya mchongo, ingawa maza kaanza kampeni, uone watakavyogaragazwa.