PreGE2025 Dkt. Nchimbi: CCM itashinda Kwa Kishindo Uchaguzi Mkuu wa Oktoba

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
CHADEMA wameenguliwa bila sababu, kwa sababu CCM mnataka SAMIA abaki mwenyewe, mnajua hawezi kushinda. Mnaona mkimuondoa mtashinda kwa kuiba kura. Rudisheni CHADEMA halafu muone wangapi tutapiga kura.
Uwe na lugha ya adabu basi!, Samia hawezi kushinda vipi wakati yeye ni mshindi tayari!, Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything! kinachofanyika October 29 ni kwenda kutiki tuu kukamilisha taratibu za kikatiba kuhalalisha takwa la kikatiba la kufanya uchaguzi.

Kuiba ni kuchukua kitu kisicho mali yako!, Tanzania ni mali ya CCM, Tume ni yao, kura ni zao, uchaguzi ni wao, waibe vipi au wamuibie nani?. Kinachofanyika ni unachukua kitu chako, unaweka kwako!.
P
 
Dah
 
Back
Top Bottom