Hii kauli imenifikirisha hata mimi!.Watanzania pambanieni katiba mpya~~ tumekuelewa Dk Nchimbi
Yeye siyo mtanzani? Au ametumwa kutuchora tuMakamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam
Kuna levels watekaji hawawezi gusaAsije akatekwa na lile genge la sa.... ambalo lilimteka hamphrey polepole.
Dead line ya ajumuia ya Madola ni 30, 90 na 180Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam
Lucas Mwashambwa na Tlaatlaah mna maoni gani juu ya huyu Mwamba?Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam
Ye mwenyewe mtekaji mkamilifu na mwenye viwango vikubwaAsije akatekwa na lile genge la sa.... ambalo lilimteka hamphrey polepole.
ile rank si ya kutekwa mjuba, ile ni next level, wakimteka wanakufa naye!Asije akatekwa na lile genge la sa.... ambalo lilimteka hamphrey polepole.
Hizi shere tu,anatuchezea shere huyu mwanamtandao kindakindakkHii kauli imenifikirisha hata mimi!.
Nchimbi Dr, ni kama anaendelea kujiweka pembeni hivi..
Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
Wanamfanyia kikao.
Aisee ni kweli wanatuchora tuYeye siyo mtanzani? Au ametumwa kutuchora tu
kwamba anafanya siasa za kinazi?Kuna kitu kinapikwa hapa, tunachezewa akili mtakuja kuniambia.