Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam
Hicho alichoanza kukiongea ile sekunde ya mwisho,...utashi wa rais aliyeko madarakani,,, ndicho kikubwa zaidi! Hongera Nchimbi endelea kujipambanua.
 
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.

Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo

CCM Ina akili sana.Niliwaambia watu kwamba mwaka 2030 CCM wanaumiza kichwa wapate mtu ambae atakuwa anaongea Lugha ya Wapinzani Ili wasalie Madarakani.

Sasa ukifuatilia stori za Nchimbi utasikia ooh sijui anamsema SSH mara ooh wanamba hahusiki na Mo29. Hii ni michezo ya kuwachezea wajinga Ili waendelee kubakia Madarakani.

Akishakuwa Rais 2030 ndio mtajua ni Katiba Mpya au sio Katiba Mpya 😂😂😂😂😂

So Kwa Sasa Nchimbi ndio karata ya CCM Uchaguzi Mkuu wa 2030 chini ya Katiba Mpya.
 
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.

Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo

Ajengewe mnara mara moja
 
Muhimu katiba mpyaa!
 
Back
Top Bottom