Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Ila mwamba alikuwa miongoni mwa wachache walioiambia CCM kuwa mchakato wa kumpata mgombea urais 2015 haukufuata katiba ya chama.Anasomeka,huyu Savimbi!
Ila mwamba alikuwa miongoni mwa wachache walioiambia CCM kuwa mchakato wa kumpata mgombea urais 2015 haukufuata katiba ya chama.Anasomeka,huyu Savimbi!
Ninachokiaminiil kutoka kwa mwanasiasa ni salamu tu, hata ukimuuliza ni saa ngapi anaweza asikupe jibu la kweli.Kuwa na Imani
Wataitana wenyewe this time aroundWasije wakatuita Magaidi!
8/8/2026Mapambano yanaanza lini??
Wewe mpumbavu una chuki za kidini..dhenziHii ni technic ambayo viongozi wote dunian na vyama ving dunian hufanya
Ndani ya chama kimoja kuna kua na makundi mawili
Moja wanajifanya mashetani na kundi jingne wanajifanya maraika ila nyuma ya pazia wote ni kitu kimoja
Sasa nchimbi anajifanya maraika afu raisi samia na kundi jingne wamejifanya mashetani
So kwa mantiki iyo wanaweka mazingira kwa wananchi kuona nchimbi ni mtu wao na anawaunga mkona katika harakati zao na mama samia ni adui
Mwisho wa sku nchimbi atagombea uraisi na atashinda na baada ya kushinda nia ya ccm inakua imetimia
Kubaki madarakan kwa miaka mingne 10
So apo akuna kitu wote ni wale wale na kama ana uchungu na wananchi why atushauri kupigania katiba why asimwambie raisi kua katiba ni haki yetu so mchakato ufanyike
Yeye ni makam ni mtu wa pili kwa nguvu baada ya raisi lakin ndo mshauri wa kwanza wa raisi why asimshauri why asiwashawishi wana ccm wenzake kuanzisha mchakato kwa ktiba mpya
Uyo mchimbi ni mpumbavu tu kama alivyo yule mama mbunge msitaafu wa bukoba sjui mnamuita tibaijuka sjui ntibaijuka
Usishangae chawa wakaja na ngonjera zao kusifia chama na samaleko
Aisee, ina maana mzee wake alikuwa kwenye vyombo vya usalama?Mtoto wa njagu huyu!
Tukimaliza hapo tunahamia lini? Nyerere Day8/8/2026
Huyu ndiye Nchimbi ninayemfahamu!!!!!!! Mtetezi wa TanganyikaMakamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.
Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo
Angekuwa ametumwa asingeweza kusema pambaneni, ina maana anajua kuna mapambano makali dhidi ya wenye nguvu wasiopenda kuona katiba mpya ya wananchi inapatikanaHii kauli imenifikirisha hata mimi!.
Nchimbi Dr, ni kama anaendelea kujiweka pembeni hivi..
Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
Abeid Aman KarumeKuna levels watekaji hawawezi gusa
Tatizo hammjui! Kila siku nasema hapa JF kuhusu yeye, watu wanapinga. Ana msimamo na anaumia kwa haya yanayotendeka. Kuiba raslimali za Tanganyika na kuijenga Zanzibar. Ndiyo maana aliitwa Yuda na yule Mzanzibari.Kuna kitu kinapikwa hapa, tunachezewa akili mtakuja kuniambia.