Thats was different si nyakati hiziAbeid Aman Karume
Politics...Hii kauli imenifikirisha hata mimi!.
Nchimbi Dr, ni kama anaendelea kujiweka pembeni hivi..
Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
Thats was different si nyakati hizi
I know but even wahuni wana mipaka, si kila mahali wanapenda and they know thatSiwezi kukubishia , ila wahuni hawana dhamana
DolaKWANINI tupambane kupata Katiba Mpya? tunapambana na nani?
Dola? CCM? Wapinzani? Wahadhiri? au watu gani?
kupambana dhidi ya nani?Watanzania pambanieni katiba mpya - Dk Nchimbi
Kunaanza kupambazuka! Jambo la msingi ni kuwa na mgombea mbinafsi ili tuweze kupata katiba bora si bora katiba
Wanasema ni movie tuingie kingNgoja tusikie kauli ya makada wenzake
AiseeMakamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.
Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo