Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.

Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo

Dr. Nchimbi anajulikana kwa kusimamia anachokiamini.

Mtakumbuka akiwa mjumbe wa kamati kuu, alitangaza hadharani kujitenga na uamuzi wa kamati kuu uliomuengua Mh. Lowasa kugombea urais.

Tofauti na wabunge wengi ambao wao kustaafu ni either ashindwe uchaguzi au afariki, Dr. Nchimbi, alitangaza kustaafu kugombea ubunge kwa hiari baada ya kuwa mbunge kwa vipindi viwili.

Akiwa katibu mkuu wa CCM, alipiga marufuku wimbo wa CCM unaosema, "Wapinzani, tuwalete, tuwachanechane, tuwatupe" Aidha ndie kiongozi pekee aliyemkemea, kada wetu wa UVCCM aliyewaambia polisi, "Tukiwapoteza wanaotukana viongozi msiwatafute"

Sina mashaka kuwa ni hii misimamo yake ndiyo iliyopelekea amebatizwa jina la YUDA.
 
gentleman,
ni muhimu sana waTanzania wote wazalendo kuzingatia na kuamini kauli za viongozi wetu wakuu wa kitaifa ikiwa ni pamoja na Dr Emmanuel John Nchimbi,ambae ni agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040.

hakuna haja ya kubabaika na porojo za kutafuta kiki za hao mamluki wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
 
Katiba mpya ni agenda ya CCM. Ipo kwenye ilani ya uchaguzi ya 2020. Makamu wa Rais yuko sahihi. CCM utawapa watanzania katiba mpya itakayokidhi mahitaji yao ya sasa. Sina shaka kwa CHADEMA kuunga mkono hoja ya kada wa CCM Mh Nchimbi kwa mwezi huu mzima.
Leo hata Mimi nimekuunga mkono, Mimi ni mwananchi huru!
 
gentleman,
ni muhimu sana waTanzania wote wazalendo kuzingatia na kuamini kauli za viongozi wetu wakuu wa kitaifa ikiwa ni pamoja na Dr Emmanuel John Nchimbi,ambae ni agenda ya taifa letu kwa mwaka 2030-2040.

hakuna haja ya kubabaika na porojo za kutafuta kiki za hao mamluki wa mabwenyenye ya magharibi 🐒
We mzee ni mnafiki sana.
Ndio maana mayala alikupa kerbu moja
Ukabaki unayeya yeya oho nisamehe
 
Hii kauli imenifikirisha hata mimi!.

Nchimbi Dr, ni kama anaendelea kujiweka pembeni hivi..

Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
NCHI IMEPIGWA NA STATE CAPTURE YA RAIA FEKI ...MPUUZI KIKWETE KAUZA NCHI MIKONONI MWA GENGE LA RAIA FEKI KINA ROSTAM AZIZI NA MASHEKH WALIO TENGENEZWA KWA KAZI HIYO
 
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.

Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo

CCM kumbe bado kuna watu makini sana na wasema ukweli.
Ukifika kwenye vikao vyenu na wewe kazia hapo hapo mkuu.
 
Back
Top Bottom