TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,646
- 28,747
Lazima watengeneze Mazingira kuwaaminisha kuwa kuna sauti ya pembeni inayojari. Msisitizo "watengeneze".Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
Lazima watengeneze Mazingira kuwaaminisha kuwa kuna sauti ya pembeni inayojari. Msisitizo "watengeneze".Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
Kuna kitu kinapikwa hapa, tunachezewa akili mtakuja kuniambia.
Hawezi kufanya jambo bila kutumwa.Hii kauli imenifikirisha hata mimi!.
Nchimbi Dr, ni kama anaendelea kujiweka pembeni hivi..
Sasa sijui kama ametumwa au ndio dhamira yake..
Sikufuatilia hili..Alikuwa RPc,Mbeya na huyu jamaa aliesoma Sangu secondary school ulikuwa na walimu wazuri Sana ila vijana wahuni walijaa pale,wahindi,Waburushi,Wasomali! Nk
Mtoto wa mfungaboot!Sikufuatilia hili..
Nimesima hapa jf mzee wake kumbe kafariki hapo 2022. Alikuwa rpc wa Mtwara kabla hajastaafu.
Kweli ni mtoto wa Njagu.
Atekwe vipi na huu ni mkakati wao? Hivi unaamini kabisa Nchimbi kama anataka tuwe na katiba mpya atashindwa kushawishi CCM wengine? Anawaambia watanzania wanapigania katiba huku wananchi wanaohoji makosa ya serikali sasa hivi wanatekwa na kubambikiwa kesi za uhaini?Asije akatekwa na lile genge la sa.... ambalo lilimteka hamphrey polepole.
Hawa si ndo waliahidi wataanza mchakato ndani ya siku 100 tu baada ya uchaguzi. Sahizi tena wanatuambia tudai, washasahau waliahidi wenyewe!😁😁😁😁Tunachezewa hapa si bure.Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.
Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo
Sana na Bado atatoa zingine za kuwafariji.Wewe umeumia sana kwa hio kauli ya Nchimbi... hio si lugha ya wapinzani.. ni lugha ya Watanganyika...
Na bado hadi wewe utazungumza lugha moja..
ok.🐒We mzee ni mnafiki sana.
Ndio maana mayala alikupa kerbu moja
Ukabaki unayeya yeya oho nisamehe