ni 30,60&90Dead line ya ajumuia ya Madola ni 30, 90 na 180
Jumbe alifikaje Mjimwema?Kuna levels watekaji hawawezi gusa
Jiwe alikua level gani?Kuna levels watekaji hawawezi gusa
Alikuwepo Polepole.Kuna levels watekaji hawawezi gusa
But hakufikia level za nchimbi kinafasiAlikuwepo Polepole.
Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato hukuwahi kuona ubaya wa Shetani lenu lilipopiga chini mchakato wa Katiba licha ya kuwa Katiba mpya ilikuwemo kwenye ilani ya CCMWatanzania pambanieni katiba mpya~~ tumekuelewa Dk Nchimbi
Si wanaenza muanzishia zengwe, atolewe hiyo nafasi abaki mtupu ili wampige tukio.. Maana wahuni huwa hawaoni mbali, wao wanaangalia hapo tuKuna levels watekaji hawawezi gusa
Kulikuwa na Luteni General Imran, japo hakutekwa ilq scenario ni ile ileBut hakufikia level za nchimbi kinafasi
Asante kwa ukumbushoni 30,60&90
That ni an if , but kumtoa makam wa rais is not sawa na mbunge, ni ngumu. Na hapo alipo si rahis kumgusaSi wanaenza muanzishia zengwe, atolewe hiyo nafasi abaki mtupu ili wampige tukio.. Maana wahuni huwa hawaoni mbali, wao wanaangalia hapo tu
Uzuri Dr. Nchimbi ni mjuzi wa mambo anaelewa michezo, hata kum mposion ni kaziThat ni an if , but kumtoa makam wa rais is not sawa na mbunge, ni ngumu. Na hapo alipo si rahis kumgusa
Mtoto wa Kahaba Chura Mafi yanagonga pichu safari hii mnageukana sijui ninyi walamba mafi wa Kahaba Chura mtaishi vipi ?Mjane wa Marehemu lile shetani lenu la Chato hukuwahi kuona ubaya wa Shetani lenu lilipopiga chini mchakato wa Katiba licha ya kuwa Katiba mpya ilikuwemo kwenye ilani ya CCM
Ccm sio yakuamini, hana ubavu wa kutoa kauli hii kama kweli huko ndani hawapiki ulaghai kwa watanzania.Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.
Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo