Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

Pamoja na katiba iliyopo kuwa na mapungufu yake, tatizo kubwa la siasa za Tanzania siyo hilo, ni watu waovu wasiotii katiba wala sheria wakiwa madarakani.
Hili lina msingi kwa watumishi wa uma na vyombo vya dola wahalifu, wajinga na wapuuzi tu (wizi wa kura, sheria mbovu, mikataba mibovu ya kuuza raslimali za taifa wanahusika).
Wakati mwingine wengi wanafanya haya kwa kujipendekeza tu ambapo hata hao wanasiasa wanawashangaa.
Huwezi kutatua tatizo kama hujui chanzo chake ni nini.
Wanasiasa hupata madaraka kwa kipindi cha miaka mitano hadi kumi, kiini cha tatizo hubaki pale pale.
 
Swala za Faradhi Kila Siku
    • Alfajiri (Fajr): Inaswaliwa kabla ya kuchomoza kwa jua.
    • Adhuhuri (Dhuhr): Inaswaliwa jua linapoanza kupungua mchana.
    • Alasiri (Asr): Inaswaliwa wakati wa mchana wa mwisho kabla ya jua kuanza kugeuka rangi.
    • Maghrib: Inaswaliwa mara tu baada ya jua kuzama.
    • Isha: Inaswaliwa usiku baada ya giza kuingia
    Tukimaliza,tule pilau tukalale. Tanzania sio nchi ya kidini.

  • Nimemaliza isha napata bia
 
Mnajua jambo muhimu katika katiba mpya ni serikali 3?
Hapana mihimili minne, Yaani, Serikali, bunge, Mahakama na Mamlaka ya usimamizi, kwenye www.katibampya.com hipo rasmi yenye mihimili minne ambapo muhimili huo mpya ni Baraza la usimamizi wa Taifa na ndio mamlaka ya kimuungano yanayosimamia misingi yote ya taifa
 
sasa ni mtu gani asiyejua madaraka ni kitu cha kupita. kwamba hajui cheo ni dhamana? Mtu wa hivyo ni takataka sana!
Mkuu kwa tuliyopitishwa awamu hii waTz, lazima mumiani hawa wanawaza tofauti kabisa na kanuni za utumishi wa umma.

Hakuna binadamu anayeweza kufurahia mateso ya watu wasio na hatia na akaendelea kutoa matamko ya kipumbaf kanakwamba hakuna maovu yanayoendelea na yu miongoni mwenu, kumbe ndiye mtesi wenu!

Tendo hili ni sawa na mchawi kwenda kulia msibani kwa mtu aliyemroga na kumsababishia kifo chake, anakuwa analia nini pale au anajibaraguza!

Ovyo sana hawa watu.
 
satanic regime!
 
Pamoja na katiba iliyopo kuwa na mapungufu yake, tatizo kubwa la siasa za Tanzania siyo hilo, ni watu waovu wasiotii katiba wala sheria wakiwa madarakani.
Hili lina msingi kwa watumishi wa uma na vyombo vya dola wahalifu, wajinga na wapuuzi tu (wizi wa kura, sheria mbovu, mikataba mibovu ya kuuza raslimali za taifa wanahusika).
Wakati mwingine wengi wanafanya haya kwa kujipendekeza tu ambapo hata hao wanasiasa wanawashangaa.
Huwezi kutatua tatizo kama hujui chanzo chake ni nini.
Wanasiasa hupata madaraka kwa kipindi cha miaka mitano hadi kumi, kiini cha tatizo hubaki pale pale.
sasa hao watu waovu wamepataje madaraka makubwa?
 
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.

Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo

Muundo wa muungano...?
Maoni yangu kuwe na mihimili minne, Yaani Serikali, Bunge, Mahakama na Mamlaka ya usimamizi, (Baraza la usimamizi wa taifa, ambapo ndipo muungano huwe hapo) www.katibampya.com
 
Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na makubaliano ya wadau wote itakayolinda haki za raia na kulipeleka taifa mbele kwa miaka ijayo.

Dkt. Nchimbi amesema kuwa kati ya madai mengi yanayopiganiwa katika jamii, Katiba ndicho chombo pekee kinachoweza kubeba mengine yote na kubatilisha sheria yoyote inayokinzana nayo

Mtazamo wa bosi wake ni kuwa matendo ya wanaharakati ni ya kihaini. Kwa hiyo kuja tena hadharani na kumuhusisha na nia yake njema ni kichekesho.
 
Back
Top Bottom