ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,765
- 3,277
Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi π π πGTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Karma !Kumekuchaaa sasa.
Ni kweli tatizo kubwa la Dkt Nchimbi hatambui siasa za kulindana hazina mvuto kabisa. Yaani kizazi cha wapiga kura wa sasa wanataka kuona viongozi wanawajibika.Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi π π π
JPM styles ! π ππ
Ngoja Tusubiri tuone !
Ccm ndio haina mvuto kwa vijana. Hawa matapeli ni sehemu ya ufubavu wa ccm.GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Haswaaa !Ni kweli tatizo kubwa la Dkt Nchimbi hatambui siasa za kulindana hazina mvuto kabisa. Yaani kizazi cha wapiga kura wa sasa wanataka kuona viongozi wanawajibika.
JPM style kisha akaishia kupora uchaguzi!Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi π π π
JPM styles ! π ππ
Ngoja Tusubiri tuone !
Ujinga mtupu, hili nijukwaa la GT sio lawadudu kamawewe Tena mdudu mchafu kabisa mnyonyadamu chawa!!GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Hakuna uwezakano wa ccm kuendelea kuwepo bila kulindana. Kizazi Cha wapiga kura kipi, wakati Tanzania hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura? Ww zungumzia kizazi Cha walinda chaguzi za wizi, sio Cha wapiga kura.Ni kweli tatizo kubwa la Dkt Nchimbi hatambui siasa za kulindana hazina mvuto kabisa. Yaani kizazi cha wapiga kura wa sasa wanataka kuona viongozi wanawajibika.
Toka lini ushindi wa CCM ukategemea wapiga kura? Kama ni hivyo basi sasa hivi CCM ingekuwa chama kikuu cha upinzani π€Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Full mtifuano.Karma !