Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchimbi kweli nimeona hamna kitu sikutarajia kama Yuko hivyo, kiongozi unàsema kwamba unasikiliza wenye akili pekee yake hiyo siyo kauli nzr
Sukuma Gang naona tayari mpo kazini.GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Sukuma Gang mwenzako huyoTutaona na kusikia mengi sana kuelekea 2025.
Makonda ana mvuto gani zaidi ya laana ?Naunga mkono hoja
Bora Comrade Makonda angepewa u KM.
Nchimbi hata mvuto hana
Sukuma gang wanadhani TANZANIA ni mali yaoUkatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi [emoji28][emoji28][emoji120]
JPM styles ! [emoji28][emoji23][emoji120]
Ngoja Tusubiri tuone !
Kiufupi ni kuwa ndani ya ccm hakuna msafiCcm ndio haina mvuto kwa vijana. Hawa matapeli ni sehemu ya ufubavu wa ccm.
Sukuma Gang for life.Sukuma Gang mwenzako huyo
Naona vijana wa Makonda mumepigwa na kitu kizito kichwani. Bosi wenu kwishney!! Maana ameambiwa wazi wazi aache zile mbwembwe zake za kuwakoromea na kuwafokea watu hadharani.GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Na Makonda akumbuke kuwa Nchimbi siyo Sukuma gangNaina vijana wa Makonda mumepihwa na kitu kizito kichwani. Bosi wenu kaambiwa aache zile mbwembwe zake za kuwakoromea na kuwafokea watu hadharani.
Kwa hiyo mumshauri tu afuate maelekezo ya Katibu wake Mkuu. Akumbuke tu huyo Nchimbi siyo Chongolo!
Sukumagang na Mataga muwe mnaenda na wakati basi! Zile zama zenu zilishapita kitambo. Mshukuru hata huyo kijana wenu Bashite amepewa hicho cheo cha uenezi.Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi 😅😅🙏
JPM styles ! 😅😂🙏
Ngoja Tusubiri tuone !
Nimemsikiliza mara mbili, kwa kweli hana jipyaGTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Kawekewa mtego?GTs,

Yule chenga na ataleta vurugu ndani ya chama muda siyo mrefu!GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Tunamjua vizuri. Kwanza ni kilaza mkubwa, pili anajua kucheza michezo ya giza, na tatu ni kweli amejiua mwenyewe kwani by 2025 atakuwa amechuja na kuwa tambara la ccm. Lakini kabla ya kufika hapo atakuwa ameiangusha ccm. CCM hawajui hata kuchagua wapiga debe wao.GTs,
Kwa maoni ya watanzania walio wengi, Dkt Nchimbi hatoshi kwenye nafasi ya KM wa CCM. Hii inatokana na kuendesha siasa za miaka ya 1990s na za 2000s ambazo zililenga kulinda kundi la watawala badala ya wananchi. Ukimsikiliza kwa makini utagundua kimawazo Dkt Nchimbi hayupo miaka hii ya karne ya kizazi kipya, na hii inaonekana kabisa Dkt Nchimbi hana mvuto kwa wapiga kura vijana.
Kibaya Dkt Nchimbi kawekewa mtego na watawala wa kummaliza kisiasa na huo mkakati unaonekana kufanikiwa. Akiutambuo huo mtego inabidi amuamkie Shikamoo Professor Makonda! Hahahaha ila siasa ni raha mno.
Hivi vyuma vikirudishwa CCM watakuwa hawaongei maneno mengi kwenye kampeni!Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi [emoji28][emoji28][emoji120]
JPM styles ! [emoji28][emoji23][emoji120]
Ngoja Tusubiri tuone !
Kwanza kapewaje hiyo nafasi mtu alikuwa nje ya nchi miaka kibao na siasa zimebadirika sana na yeye anakuja na siasa za kale alizoziacha kipindi anaenda kuwa Balozi!Ni kweli tatizo kubwa la Dkt Nchimbi hatambui siasa za kulindana hazina mvuto kabisa. Yaani kizazi cha wapiga kura wa sasa wanataka kuona viongozi wanawajibika.