Dkt. Nchimbi kashafeli nafasi ya Katibu Mkuu CCM

Dkt. Nchimbi kashafeli nafasi ya Katibu Mkuu CCM

Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi [emoji28][emoji28][emoji120]

JPM styles ! [emoji28][emoji23][emoji120]
Ngoja Tusubiri tuone !
Makonda huyu ambaye ubunifu wake umeishia kumkodi maamuma Mwaipopo kuja kuimaliza Chadema kwa kutumia misikiti?
 
Sukumagang na Mataga muwe mnaenda na wakati basi! Zile zama zenu zilishapita kitambo. Mshukuru hata huyo kijana wenu Bashite amepewa hicho cheo cha uenezi.

Maana kiufupi hakustahili, kutokana na ukweli kwamba kwa sasa chama kiko mikononi mwa wenyewe. Yaani watoto wa mjini.
Hutaki mvua iendelee kunyesha ili tuone panapovuja ??!!
 
Huyu kigagula kapwaya sana, hotuba ya kupokelewa Dar ilikuwa kama kiporo cha udaga.
Hahahahaha yaani tatizo la Dkt Nchimbi ni kuishi enzi za wana mtandao eti kulindana hahahaha yaani hana kabisa mvuto hata hotuba zake haiakisi kabisa malengo ya Dkt Samia.
 
Huenda anajaribu kuirudisha CCM katika mstari! Maana CCM ya sasa inazidi kuporomoka na kutoka kwenye misingi yake ya asili! Mama ameshakata tamaa,anajaribu kuokoteza ye yote amsaidie kuirudisha CCM.
 
Kwa niaba ya CCM Jukwaa la Siasa, naenda kuwashukuru wote mnaotumia muda wenu mwingi kuitangaza CCM humu jukwaani. Kwakweli jitihada zenu zimeifanya CCM na viongozi wake wafahamike kwa haraka sana kuliko viongozi wa Vyama vingine. Mfano, leo hii Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Komredi Paul Makonda na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Emmanuel Nchimbi wanafahamika sana na zaidi kuliko viongozi wengine wa nafasi kama zao katika vyama vingine. Hizi zote ni jitihada zenu na tunashukuru sana hasa akina Erythrocyte, Tindo, Mmawia, chiembe, Msanii na wengine ambao siwataja ingawa nao wana umuhimu mkubwa kwa CCM kama niliowataja!
Mtu mjinga ndio hufurahia umaarufu bila kujali ni + au -
 
Back
Top Bottom