Dkt. Nchimbi kashafeli nafasi ya Katibu Mkuu CCM

Naona makonda unampondea mwenzako, mbona hata wewe ni ratizo
 
Nchimbi kweli nimeona hamna kitu sikutarajia kama Yuko hivyo, kiongozi unΓ sema kwamba unasikiliza wenye akili pekee yake hiyo siyo kauli nzr

Ndio yupo hivyo hivyo kama ulivyomsikia...
 
Sukuma Gang naona tayari mpo kazini.

Yaani hata huna haya unatumia neno.. PROFESSOR...kwenye vitu vya hovyooo namna hii?
 
Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi [emoji28][emoji28][emoji120]

JPM styles ! [emoji28][emoji23][emoji120]
Ngoja Tusubiri tuone !
Sukuma gang wanadhani TANZANIA ni mali yao
 
Naona vijana wa Makonda mumepigwa na kitu kizito kichwani. Bosi wenu kwishney!! Maana ameambiwa wazi wazi aache zile mbwembwe zake za kuwakoromea na kuwafokea watu hadharani.

Kwa hiyo mumshauri tu afuate maelekezo ya Katibu wake Mkuu. Akumbuke tu huyo Nchimbi siyo Chongolo!
 
Naina vijana wa Makonda mumepihwa na kitu kizito kichwani. Bosi wenu kaambiwa aache zile mbwembwe zake za kuwakoromea na kuwafokea watu hadharani.

Kwa hiyo mumshauri tu afuate maelekezo ya Katibu wake Mkuu. Akumbuke tu huyo Nchimbi siyo Chongolo!
Na Makonda akumbuke kuwa Nchimbi siyo Sukuma gang
 
Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi πŸ˜…πŸ˜…πŸ™

JPM styles ! πŸ˜…πŸ˜‚πŸ™
Ngoja Tusubiri tuone !
Sukumagang na Mataga muwe mnaenda na wakati basi! Zile zama zenu zilishapita kitambo. Mshukuru hata huyo kijana wenu Bashite amepewa hicho cheo cha uenezi.

Maana kiufupi hakustahili, kutokana na ukweli kwamba kwa sasa chama kiko mikononi mwa wenyewe. Yaani watoto wa mjini.
 
Nimemsikiliza mara mbili, kwa kweli hana jipya
 
Kawekewa mtego?

Upi?
 
Kwa hiyo sukuma gang mmejikusanya kuanzisha uzi na kuuchangia?

🀣🀣🀣🀣 nyie watu mna shida sana. Hivi mnafikiri hii nchi ni yenu nini?
 
Kwa niaba ya CCM Jukwaa la Siasa, naenda kuwashukuru wote mnaotumia muda wenu mwingi kuitangaza CCM humu jukwaani. Kwakweli jitihada zenu zimeifanya CCM na viongozi wake wafahamike kwa haraka sana kuliko viongozi wa Vyama vingine. Mfano, leo hii Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Komredi Paul Makonda na Katibu Mkuu wa CCM Dk. Emmanuel Nchimbi wanafahamika sana na zaidi kuliko viongozi wengine wa nafasi kama zao katika vyama vingine. Hizi zote ni jitihada zenu na tunashukuru sana hasa akina Erythrocyte, Tindo, Mmawia, chiembe, Msanii na wengine ambao siwataja ingawa nao wana umuhimu mkubwa kwa CCM kama niliowataja!
 
Yule chenga na ataleta vurugu ndani ya chama muda siyo mrefu!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Tunamjua vizuri. Kwanza ni kilaza mkubwa, pili anajua kucheza michezo ya giza, na tatu ni kweli amejiua mwenyewe kwani by 2025 atakuwa amechuja na kuwa tambara la ccm. Lakini kabla ya kufika hapo atakuwa ameiangusha ccm. CCM hawajui hata kuchagua wapiga debe wao.
 
Ni kweli tatizo kubwa la Dkt Nchimbi hatambui siasa za kulindana hazina mvuto kabisa. Yaani kizazi cha wapiga kura wa sasa wanataka kuona viongozi wanawajibika.
Kwanza kapewaje hiyo nafasi mtu alikuwa nje ya nchi miaka kibao na siasa zimebadirika sana na yeye anakuja na siasa za kale alizoziacha kipindi anaenda kuwa Balozi!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…