Dkt. Nchimbi kashafeli nafasi ya Katibu Mkuu CCM

Ukatibu unamfaa Makonda, Bashiru, Polepole au Hapi [emoji28][emoji28][emoji120]

JPM styles ! [emoji28][emoji23][emoji120]
Ngoja Tusubiri tuone !
Makonda huyu ambaye ubunifu wake umeishia kumkodi maamuma Mwaipopo kuja kuimaliza Chadema kwa kutumia misikiti?
 
Hutaki mvua iendelee kunyesha ili tuone panapovuja ??!!
 
Huyu kigagula kapwaya sana, hotuba ya kupokelewa Dar ilikuwa kama kiporo cha udaga.
Hahahahaha yaani tatizo la Dkt Nchimbi ni kuishi enzi za wana mtandao eti kulindana hahahaha yaani hana kabisa mvuto hata hotuba zake haiakisi kabisa malengo ya Dkt Samia.
 
Huenda anajaribu kuirudisha CCM katika mstari! Maana CCM ya sasa inazidi kuporomoka na kutoka kwenye misingi yake ya asili! Mama ameshakata tamaa,anajaribu kuokoteza ye yote amsaidie kuirudisha CCM.
 
Mtu mjinga ndio hufurahia umaarufu bila kujali ni + au -
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…