Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ile ripoti ya mwananchi ndio inasema ukweli hizi data za kupikwa na kuleta mezani zisitubabaishe uhalisia tunauona mtaani watu wanavyoshinda njaa alafu kuna mjinga mmoja anasema eti deatineaheni ya biashara na upumbavu gani sijui
 
ile ripoti ya mwananchi ndio inasema ukweli hizi data za kupikwa na kuleta mezani zisitubabaishe uhalisia tunauona mtaani watu wanavyoshinda njaa alafu kuna mjinga mmoja anasema eti deatineaheni ya biashara na upumbavu gani sijui
Wapi huko mnakoshinda njaa au wewe umewaona wangapi utuoneshe na sisi ambao hatuishi mtaani na hatuoni uhalisia wa hao Wananchi.

Fanya hivyo itapendeza sana Ili kukomesha kupika taarifa πŸ˜†πŸ˜†

Huku Same sio mtaani ni Sayari ya mars πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/reel/C6ojKztMm9L/?igsh=ZXNzdHB5MGpkNXBp
 
Fuatilia vizuri huu uzi na mapambio/ama jinsi unavyo pambanuliwa na Choicevariable, halafu tizama mahojiano ya "Ana kwa Ana" kati ya Rais Samia S. Hassan na Tido Mhando.

Utagundua mengi sana.

Angalizo: (Kuokoa bando)Usikilize vizuri dakika chache za mwanzo-ya pili mpaka ya saba hivi, halafu unaeza ruka ama ku foward mpaka dakika ya 21:05, nitamnukuu Rais kiunagaubaga akisema kuwa yeye, yaani Raisi anaendeleza yale yaliyokuwa ya Hayat Rais J.P.MπŸ‘‡πŸΏ


View: https://m.youtube.com/watch?v=CwG3vlLPZu0
Swali ni kwanini watu wanapotosha?
 
Nashukuru dada angu kwa tusi lako, lakini pia jifunze kiswahili, toa takwimu serikali imeajiri wangapi, wamestaafu, wamekufa au kuacha kazi wangapi?
 
Nashukuru dada angu kwa tusi lako, lakini pia jifunze kiswahili, toa takwimu serikali imeajiri wangapi, wamestaafu, wamekufa au kuacha kazi wangapi?
Wewe nyumbu Serikali imeajiri Watumishi wengi sana ,Baadhi Yao ni Hawa hapa πŸ‘‡

Usirudie kulinganisha Samia na loosers
 
Sifa kama hizi ndio zinatucheleweshea sana maendeleo ya maana nchi hii, kwa sababu zinapumbaza kushindwa kuona kuwa tupo nyuma sana kulinuganisha na miaka yote hii 60. Ndio maana bado tunaangaika na matundu ya vyoo na changamoto za msingi zenye kutatulika ila hadi leo imekuwa kama tu sehemu ya maisha yetu ila tupo busy kusifiana majukumu ya serikali ya kawaida. Ndio maana tukilinganisha na nchi zengine zinakuja visababu vya sijui Tanzania ni kubwa sana sijui watu wengi.
 
Tuna watu wajinga sn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…