Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
1. UVIKO ni mradi wa wema au wizi kutoka kwa wafadhili?

2. Nani alianzisha mradi wa JNHPP, Vidunda na SGR?

3. Nani alianzisha miradi ya maji, hospitali za kanda, zahanati na vituo vya afya?

4. Nani alianzisha ujenzi wa Ikulu ya Dodoma na kuhamisha watumishi wote wa serikali kwenda huko?

5. Nani alinunua ndege zilizokodiwa kwa shirika la ATCL?

6. Nani alifanya miradi mingi ya barabara korofi na ikakamilika kwa ubora?

7. Kwanini barabara ya njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha haijazinduliwa hadi leo?

8. Nani alinunua rada ya usalama wa anga Tanzania badala ya kutumia za nchi jirani ya Kenya?

9. Nani alianzisha mchakato wa ujenzi wa viwanja vya ndege Tanzania nzima katika mikoa ya kimkakati yote?

10. Nani alianzisha ujenzi wa meli katika maziwa makuu yote Tanzania kwa kutumia makandarasi wa ndani na baadhi kutoka Korea kusini?

11. Nani aliweka mfumo sahihi wa ukusanyaji wa mapato kupitia TRA?

12. Nani aliwagusa wezi na waharifu walioshindikana waliokuwa wanaharibu uchumi wa nchi kwa kuhodhi njia za kiuchumi?

13. Nani alijenga masoko yenye hadhi katika mikoa ya kimkakati (Mtwara, Dar, Morogor, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Iringa) bila kulazimika kuchoma yaliyopo kwa njia zisizo halali

14. Nani aliyejenga vituo vingi vyenye hadhi vya mabasi katika mikoa kadhaa (Dar, Dodoma, Tanga, Mwanza, Iringa)
1.Wewe umeiba kiasi gani kutoka wa wafadhili?

2.Hakuna mahala nimetaja miradi ya Magufuli hapo Juu.Bwawa la Kidunda ni Samia ameanzisha.

3.Nyerere ndio alianzisha ila Samia amejenga Vituo vya Kutokea Huduma vingi kushinda wote waliotangulia kanunia na vifaa tiba Juu x rays,MRIs,CT scans,Magari nk

4.Hakuna mahala nimetaja Ikulu hapo Juu ila Nyerere ndio alianzisha na wengine waliofuata wakaendeleza.

5.Hakuna mahala nimetaja ndege hapo kwenye miradi ya Samia.

6.Kuhusu Barabara Samia ndio amefanya na anaendelea kufanya miradi Mingi ya Barabara.Kwa miaka hii 3 ,amejenga zaidi ya km 1500 za lami na miradi mingine 57 yenye zaidi ya km 3700 inaendelea.Kiufupi Kila Mkoa Kuna miradi mikubwa Magufuli alishindwa kwenye Urais wake.

View: https://www.instagram.com/reel/C5sjaPbLj8O/?igsh=dDdpcW14c2E2b2s4

7.Haijazinduliwa Kwa sababu kama kawaida ya Mwendazake kubadili design kuanzia ule msalaba wa ubungo Hadi hiyo.

Hapo wame design upya na mradi ukaonhezeka Kwa zaidi ya km 60 sa
O kazi Iko mwishoni.

8.Hakuna mahala nimezungumzia Rador na miradi yeyote ya Magufuli ambayo hakukamilisha hata mmja ila Samia ndio ameikamilisha, kiufupi alishindwa.

9.Mchakato ndio kujenga? Michakato ipo Toka Uhuru ila Samia anajenga viwanja Mikoa yote ambayo Haina viwanja,Mwendazake alishindwa alijenga Mikoa 3 tuu nayo hakumaliza hata mmja ila Samia ndio amemalizia.

View: https://www.instagram.com/p/C6Gl4RkoBaD/?igsh=MXNyNm9id29xdmJ2dA==

10.Ujenzi wa meli umeanza miaka Mingi tuu hapa Tanzania ndio maana MV Mwanza ilizama maana ilikuwpeo Mwisho hatutumii kina Songoro saizi maana ni mkandarasi wa mchongo,saizi wanajenga Wakorea kule Kigoma.

11.Mfumo.sahihi ndio mfumo gani? Onyesha pesa mlizokusanya miaka 5 vs Miaka 3 ya Samia.

12.Nitajie mwizi hata mmja ambae alifungwa awamu ya 5 nifunge Uzi.

13.Mbeya na Moro Mwendazake alijenga masoko yapi wewe mtumwa wa Mwendazake? Masoko mengine yaliyosalia Amemalizia Samia na anajenga mengine mapya eg New Kariakoo,Mbeya, Morogoro,Tabora,Dodoma,Tanga

View: https://twitter.com/Hakingowi/status/1782356608963490138?t=t87BDWlJipJ7JTmeSgnVJg&s=19
20240423_130026.jpg


14.Kwani ujenzi wa Vituo vya Mabasi umeisha Nchi hii? Mama anajenga Vituo zaidi ya 20 Kupitia mradi wa TACTIC.

View: https://www.instagram.com/p/C524gFZtwVH/?igsh=aDF1YmQ2NGxjbnV1
20240423_132723.jpg
20240423_132726.jpg
 
Hoja ya nini sasa wakati nyie wenyewe mnajua kwamba Tangu aliyoyaacha JPM ndo anayoyamalizia huyu Mama,Jipya lipi kaleta zaidi ya yale ya DPW na la kwenye mbuga za Wamasai huko?
Hiyo orodha umeisoma? Kuna mradi wa Magufuli hapo? Nitajie hiyo miradi anayomalizia.

Mwendazake uchumi ulimshinda akawa anaimba JNHPP,Sgr na daraja daily.

Samia ana Utitiri wa miradi Kila Kona ya Nchi Kila sekta na humsikii akileta visingizio vya kijinga kama Mwendazake.👇👇
20240423_130026.jpg
20240423_132723.jpg
20240423_132726.jpg


Huna hoja wewe Sukuma gang.
 
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.

DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika akisema ni kama miujiza maana kilichotakiwa kufanyika Kwa muda mrefu kimewezekana ndani ya mda mchache kabisa.

Kwa wasio fahamu,haters na wabishi hii hapa ni summary tuu ya kilichofanywa na Samia.👇👇

1-Mapato ya TRA kuongezeka kutoka wastani wa 1.5T Hadi 2.2T(ongezeko bil.700 )

2-Makusanyo ya Halmashauri kuongeza kutoka Bil.800 Hadi Trilioni 1.2(Ongezeko Bil.400)

3-Ongezeko la Mapato ya Utalii Hadi 3.5T(Watalii 1.9m) kutoka 3T(Watalii 1.5mln).

4-Ujenzi wa Bandari Ziwa Nyasa(MbambaBay),Ziwa Tanganyika(Kigoma),Ziwa Victoria (Mwanza,Bukoba,Chato) na Bhari ya Hindi(Dar,Tanga,Kilwa na Mtwara).

5-Ujenzi wa viwanja wa ndege 15 Unaendelea Tanzania nzima eg Sumbawanga,Tabora,Shinyanga,Kigoma,Ruaha NP,Nyerere NP,Moshi,Iringa nk huku akikamilosja viwanja vya Songwe, Songea,Iringa na Katavi.

6-Ujenzi wa Hospital za Wilaya mpya 129 ,Mikoa 7 na Rufaa za Kanda 3(Mtwara,Kigoma na Ukerewe).

7-Ujenzi wa Vituo vya Afya vipya 402 kwenye kata za kimkakati hapo tozo za miamala (234).

8-Ununuzi wa vifaa tiba ambavyo havikuwahi kuwepo Kwenye hospital za Tanzania mfano Ultra Sound 192 ,Digital X-rays 147,CT Scan 32,MRI machines 7.

9-Ujenzi wa majengo ya Wagonjwa Mahututi(ICU) 28 na Dharula 127,

10-Upanuzi na Ujenzi wa Vyuo Vikuu vipya na kampasi za Vyuo kwenye Mikoa 14 ambayo swali haikuwa na Vyuo Vikuu au kampasi eg Kigoma,Simiyu,Njombe,Ruvuma, Rukwa,Katavi,Shinyanga,Lindi,Mtwara nk.

11-Kaongeza Bajeti Kila Wizara ila Kwa upekee ni Wizara ya Kilimo(Umwagiliaji )kutoka Bil.270 Hadi Bilioni 950.Skimu Mpya za uwamwagiliaji hectare 95,000 zimejengwa na kufufuliwa,kafungua ofisi za Kilimo Kila Wilaya na kaajiri Wataalamu na kawapa vitendea kazi.

12-Kaondoa shida ya vitambulisho NIDA,zaidi ya vitambulisho 12,000,000 vimegawiwa.

13-Ujenzi wa minara mipya 1,200 ambapo Kupitia mradi wa Tanzania ya Kidijitali minara 728 inaendelea na Ujenzi Kwa Bilioni 126.(Kijijini kama mjini)

14-Amefikisha maji ya Bomba Kwa zaidi ya Vijiji 11,000.(Kampeni ya kumtua Mama ndio kichwani).

15-Amefikisha umeme Kila Kijiji,kazi inaendelea kwenye vitongoji na migodi ya umeme.

16-Amewasha Umeme gridi ya Taifa Mikoa Kigoma,Katavi na kazi zinaendelea Rukwa ,Lindi, Mtwara.

17-Kazi zinaendelea ujenzi wa Vyanzo vipya vya Umeme eg Mto Malagalasi,Kakono,Umeme Jua Kishapu,Joto Ardhi Mbeya nk

18-Amejenga zaidi ya Shule Mpya za Sekondari 3,200 ,shule za msingi zaidi ya 300 na madarasa 24,000 ,mabweni 137 nk

19-Kupitia TanRoads amekamilisha zaidi ya km 1,000 za lami na zingine zaidi ya 3,700 zinaendelea na Ujenzi.

20-Kupitia Tarura amejenga zaidi ya km 800 za lami na zingine zaidi ya 500 zinaendelea na Ujenzi (Hapa amefungua maelfu ya Vijijini Kwa Barabara Mpya za changarawe na madaraja). Bajeti ya Tarura aliongeza kutoka bil.270 Hadi Bil.800.

21-Sekta ya mifugo amegawa Boti za Kisiasa zaidi ya 200 na viximba zaidi ya 1300 Kwa Vijana.

22-Sekta ya Elimu kaongeza mikopo Kwa wanafunzi ambapo Sasa Diploma Hadi Chuo Kikuu wanapata,chekechea Hadi form six Elimu Bure(kafuta ada ya form Six),Kafuta Mapenato na mambo ya hivyo ya Bodi ya Mikopo.

23-Katoa Ajira zaidi ya 55,000 kada zote huku Elimu na Afya wakipewa kipaombele.

24-Anajenga na kukamilisha zaidi ya miradi ya maji 3,700 mikubwa Kwa midogo mfano mradi wa Miji 28,bwawa la kidunda na kukwamua miradi iliyokwamba kama same-mwanga,Tarime-Kiabakari nk.

25-Kwenge sekta ya biashara baada ya maboresho maelfu ya miradi imemenika Kila sekta baada ya Wafanyabiashara kurejesha Imani Kwa Serikali Kupitia sera ya Diplomasia ya Uchumi na kuifungua Nchi.Hakuna ziara ambayo mama alifanya Nje ya Nchi hajakutana na Wafanyabiashara wa Kimataifa.

26-Sekta ya michezo na Burudani.Huko Kila mtu anajua kwamba Mama alikatabati viwanja,akaleta ufunguzi wa AFL na sasa ameileta Afcon 27 na uwanja Mpya inajengwa Arusha.Likewise kuwapa mikopo Wasanii.

27-Ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (VETA) zaidi ya 60 Wiyani na Mikoani.

Kiufupi ni vigumu kuelezea vyote,pamoja na Changamoto ila Mama kaupiga mwingi ,Anatosha na Chenji inabakia.

View: https://www.instagram.com/p/C59CY7uMJC5/?igsh=MTNiYnozM2hubjMwZQ==
My Take
Yote hayo kafanya na anaendelea kufanya lakini hajawahi acha mradi hata 1 aliourithi kutoka Kwa Mwendazake kama Bwawa la JNHPP,Daraja la JPM,EACOP,SGR,Ndege Mpya,Ujenzi wa Mji wa Serikali na hajatoa visingizio.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1781317600514809949?t=yhy9JBufLMEhmo34FTghDg&s=19

Na bado mpaka Wakenya wachukie!
 
Hiyo orodha umeisoma? Kuna mradi wa Magufuli hapo? Nitajie hiyo miradi anayomalizia.

Mwendazake uchumi ulimshinda akawa anaimba JNHPP,Sgr na daraja daily.

Samia ana Utitiri wa miradi Kila Kona ya Nchi Kila sekta na humsikii akileta visingizio vya kijinga kama Mwendazake.👇👇
View attachment 2971959View attachment 2971960View attachment 2971961

Huna hoja wewe Sukuma gang.
Sasa soko si mradi wa manispaa na Jiji?,kwani lilivyoungua lile la karume mchikichini si wamejenga Wamachinga na manispaaa?.
Mradi alizindua ni wa kuwaamisha wamasai,DPW NA ile movie yake ya Royal Tour...huyu mama kafeli sana katika hawamu za hivyo tumewai pitia kama taifa ni ya huyu Mama na JMK.
 
Back
Top Bottom