Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kasema kweli kabisa.aliypfanya huyu bibi ushulungi ni maajabu ya Dunia.mafano miradi aliyoianzisha magufuli mingi imemshinda kuimalizia,deni la taifa kalipaisha kuzidi uwezo wa nchi kulipa na ameifilisi nch Kwa safari zisizo na tija.huu wote ni muuniza Kwa kweli
 
Umeandika 🚮🚮🚮🚮

View: https://www.instagram.com/p/C5_TInKIH3C/?igsh=M2I2eGt5c2Q3ZTN0

Samia sio Rais wa maigizo kama yule wenu 👇👇

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1781960388864622884?t=pIqmAmvkT1mGzl_qkwSdWw&s=19
 
Usiwe unauliza swali la kipumbavu na kiounguani,hayo niliyoeleza hapo Juu yamefanyika Burundi na hivyo Warundi ndio wanatakiwa kujivunia? Kwa akili zako wewe kitu Cha kujivunia na alama kintakiwa kuwaje? Acha upunguani basi.

Wananchi wa Kalambo walioachiwa alama hii ya daraja watamkumbuka Mama Yako? Unataka nikutajie vitu specific si nitajaza servers?View attachment 2969658View attachment 2969659View attachment 2969660View attachment 2969661View attachment 2969662View attachment 2969663View attachment 2969664
My Take: Majitu majinga yaliyojaa chuki za kipumbavu kama wewe ni hatari sana Kwa Taifa.

Kusoma hujui na picha huoni? Waliosema Nabii hakunaliki kwao hawakuwa wajinga.

View: https://twitter.com/ccm_tanzania/status/1781731724684042444?t=LwQSgtN4xldHxRV4qnXsbA&s=19

Mwisho jitu halijui chochote Cha maana kinafanyika hata hapo ulipo aidha Kwa sababu huna pesa za kusafiri,mbaya zaidi hujui hata upate vipi sources za taarifa kujua nini kinafanyika hapo hapo mkoani kwako au kwingineko ila unaropoka tuu kama punguani.

Wewe ni mgonjwa wa akili,wahi tiba.
 
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.

DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika akisema ni kama miujiza maana kilichotakiwa kufanyika Kwa muda mrefu kimewezekana ndani ya mda mchache kabisa.

Kwa wasio fahamu,haters na wabishi hii hapa ni summary tuu ya kilichofanywa na Samia.👇👇

-Mapato ya TRA kuongezeka kutoka wastani wa 1.5T Hadi 2.2T(ongezeko bil.700 )

-Makusanyo ya Halmashauri kuongeza kutoka Bil.800 Hadi Trilioni 1.2(Ongezeko Bil.400)

-Ongezeko la Mapato ya Utalii Hadi 3.5T(Watalii 1.9m) kutoka 3T(Watalii 1.5mln).

-Ujenzi wa Bandari Ziwa Nyasa(MbambaBay),Ziwa Tanganyika(Kigoma),Ziwa Victoria (Mwanza,Bukoba,Chato) na Bhari ya Hindi(Dar,Tanga,Kilwa na Mtwara).

-Ujenzi wa viwanja wa ndege 15 Unaendelea Tanzania nzima eg Sumbawanga,Tabora,Shinyanga,Kigoma,Ruaha NP,Nyerere NP,Moshi,Iringa nk huku akikamilosja viwanja vya Songwe, Songea,Iringa na Katavi.

-Ujenzi wa Hospital za Wilaya mpya 129 ,Mikoa 7 na Rufaa za Kanda 3(Mtwara,Kigoma na Ukerewe).

-Ujenzi wa Vituo vya Afya vipya 402 kwenye kata za kimkakati hapo tozo za miamala (234).

-Ununuzi wa vifaa tiba ambavyo havikuwahi kuwepo Kwenye hospital za Tanzania mfano Ultra Sound 192 ,Digital X-rays 147,CT Scan 32,MRI machines 7.

-Ujenzi wa majengo ya Wagonjwa Mahututi(ICU) 28 na Dharula 127,

-Upanuzi na Ujenzi wa Vyuo Vikuu vipya na kampasi za Vyuo kwenye Mikoa 14 ambayo swali haikuwa na Vyuo Vikuu au kampasi eg Kigoma,Simiyu,Njombe,Ruvuma, Rukwa,Katavi,Shinyanga,Lindi,Mtwara nk.

-Kaongeza Bajeti Kila Wizara ila Kwa upekee ni Wizara ya Kilimo(Umwagiliaji )kutoka Bil.270 Hadi Bilioni 950.Skimu Mpya za uwamwagiliaji hectare 95,000 zimejengwa na kufufuliwa,kafungua ofisi za Kilimo Kila Wilaya na kaajiri Wataalamu na kawapa vitendea kazi.

-Kaondoa shida ya vitambulisho NIDA,zaidi ya vitambulisho 12,000,000 vimegawiwa.

-Ujenzi wa minara mipya 1,200 ambapo Kupitia mradi wa Tanzania ya Kidijitali minara 728 inaendelea na Ujenzi Kwa Bilioni 126.(Kijijini kama mjini)

-Amefikisha maji ya Bomba Kwa zaidi ya Vijiji 11,000.(Kampeni ya kumtua Mama ndio kichwani).

-Amefikisha umeme Kila Kijiji,kazi inaendelea kwenye vitongoji na migodi ya umeme.

-Amewasha Umeme gridi ya Taifa Mikoa Kigoma,Katavi na kazi zinaendelea Rukwa ,Lindi, Mtwara.

-Kazi zinaendelea ujenzi wa Vyanzo vipya vya Umeme eg Mto Malagalasi,Kakono,Umeme Jua Kishapu,Joto Ardhi Mbeya nk

-Amejenga zaidi ya Shule Mpya za Sekondari 3,200 ,shule za msingi zaidi ya 300 na madarasa 24,000 ,mabweni 137 nk

-Kupitia TanRoads amekamilisha zaidi ya km 1,000 za lami na zingine zaidi ya 3,700 zinaendelea na Ujenzi.

-Kupitia Tarura amejenga zaidi ya km 800 za lami na zingine zaidi ya 500 zinaendelea na Ujenzi (Hapa amefungua maelfu ya Vijijini Kwa Barabara Mpya za changarawe na madaraja). Bajeti ya Tarura aliongeza kutoka bil.270 Hadi Bil.800.

-Sekta ya mifugo amegawa Boti za Kisiasa zaidi ya 200 na viximba zaidi ya 1300 Kwa Vijana.

-Sekta ya Elimu kaongeza mikopo Kwa wanafunzi ambapo Sasa Diploma Hadi Chuo Kikuu wanapata,chekechea Hadi form six Elimu Bure(kafuta ada ya form Six),Kafuta Mapenato na mambo ya hivyo ya Bodi ya Mikopo.

-Katoa Ajira zaidi ya 55,000 kada zote huku Elimu na Afya wakipewa kipaombele.

-Anajenga na kukamilisha zaidi ya miradi ya maji 3,700 mikubwa Kwa midogo mfano mradi wa Miji 28,bwawa la kidunda na kukwamua miradi iliyokwamba kama same-mwanga,Tarime-Kiabakari nk.

-Kwenge sekta ya biashara baada ya maboresho maelfu ya miradi imemenika Kila sekta baada ya Wafanyabiashara kurejesha Imani Kwa Serikali Kupitia sera ya Diplomasia ya Uchumi na kuifungua Nchi.Hakuna ziara ambayo mama alifanya Nje ya Nchi hajakutana na Wafanyabiashara wa Kimataifa.

-Sekta ya michezo na Burudani.Huko Kila mtu anajua kwamba Mama alikatabati viwanja,akaleta ufunguzi wa AFL na sasa ameileta Afcon 27 na uwanja Mpya inajengwa Arusha.Likewise kuwapa mikopo Wasanii.

Kiufupi ni vigumu kuelezea vyote,pamoja na Changamoto ila Mama kaupiga mwingi ,Anatosha na Chenji inabakia.

View: https://www.instagram.com/p/C59CY7uMJC5/?igsh=MTNiYnozM2hubjMwZQ==
My Take
Yote hayo kafanya na anaendelea kufanya lakini hajawahi acha mradi hata 1 aliourithi kutoka Kwa Mwendazake kama Bwawa la JNHPP,Daraja la JPM,EACOP,SGR,Ndege Mpya,Ujenzi wa Mji wa Serikali na hajatoa visingizio.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1781317600514809949?t=yhy9JBufLMEhmo34FTghDg&s=19

Wana-maombi, tafadhali pale mwishoni mwa sala msema "mapenzi yako yatimizwe" huyu Mungu hawezi kuchezewa.
Mungu ana wivu, hagawani utukufu na wanadamu, na Kama kweli Mungu upo , na wewe mwenyewe ndio ulisema una wivu , sasa onyesha wivu wako, tumechoka!!
 
Sgr,bwawa la umeme rufiji,daraja la busisi n.k.ni miradi iliyoanzishwa na JPM, ambayo ilipaswa iwe kwenye uzalishaji, badala yake mna zuga na,majaribio [test]zisizoisha,ameweka wezi kusimamia miradi na kuwaelekeza wale kwa urefu wa kama/wale polepole,Hayo ndiyo mnayoyaita mafanikio? Miradi yenu mipya ni ipi ?[Bila shaka unahitaji mume].
 
Yeye mbona alishindwa kuweka kwenye uzalishaji section ya Dar-Moro?

Mwisho Marehemu hana chake,wewe ulitaka wale kulingana na urefu wa kamba ya nani? Kiswahili ulipata ngapi? Nakukumbusha tena Kila mbuzi hula kulingana na urefu wa kamba yake.
 
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.

DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika akisema ni kama miujiza maana kilichotakiwa kufanyika Kwa muda mrefu kimewezekana ndani ya mda mchache kabisa.

Kwa wasio fahamu,haters na wabishi hii hapa ni summary tuu ya kilichofanywa na Samia.👇👇

-Mapato ya TRA kuongezeka kutoka wastani wa 1.5T Hadi 2.2T(ongezeko bil.700 )

-Makusanyo ya Halmashauri kuongeza kutoka Bil.800 Hadi Trilioni 1.2(Ongezeko Bil.400)

-Ongezeko la Mapato ya Utalii Hadi 3.5T(Watalii 1.9m) kutoka 3T(Watalii 1.5mln).

-Ujenzi wa Bandari Ziwa Nyasa(MbambaBay),Ziwa Tanganyika(Kigoma),Ziwa Victoria (Mwanza,Bukoba,Chato) na Bhari ya Hindi(Dar,Tanga,Kilwa na Mtwara).

-Ujenzi wa viwanja wa ndege 15 Unaendelea Tanzania nzima eg Sumbawanga,Tabora,Shinyanga,Kigoma,Ruaha NP,Nyerere NP,Moshi,Iringa nk huku akikamilosja viwanja vya Songwe, Songea,Iringa na Katavi.

-Ujenzi wa Hospital za Wilaya mpya 129 ,Mikoa 7 na Rufaa za Kanda 3(Mtwara,Kigoma na Ukerewe).

-Ujenzi wa Vituo vya Afya vipya 402 kwenye kata za kimkakati hapo tozo za miamala (234).

-Ununuzi wa vifaa tiba ambavyo havikuwahi kuwepo Kwenye hospital za Tanzania mfano Ultra Sound 192 ,Digital X-rays 147,CT Scan 32,MRI machines 7.

-Ujenzi wa majengo ya Wagonjwa Mahututi(ICU) 28 na Dharula 127,

-Upanuzi na Ujenzi wa Vyuo Vikuu vipya na kampasi za Vyuo kwenye Mikoa 14 ambayo swali haikuwa na Vyuo Vikuu au kampasi eg Kigoma,Simiyu,Njombe,Ruvuma, Rukwa,Katavi,Shinyanga,Lindi,Mtwara nk.

-Kaongeza Bajeti Kila Wizara ila Kwa upekee ni Wizara ya Kilimo(Umwagiliaji )kutoka Bil.270 Hadi Bilioni 950.Skimu Mpya za uwamwagiliaji hectare 95,000 zimejengwa na kufufuliwa,kafungua ofisi za Kilimo Kila Wilaya na kaajiri Wataalamu na kawapa vitendea kazi.

-Kaondoa shida ya vitambulisho NIDA,zaidi ya vitambulisho 12,000,000 vimegawiwa.

-Ujenzi wa minara mipya 1,200 ambapo Kupitia mradi wa Tanzania ya Kidijitali minara 728 inaendelea na Ujenzi Kwa Bilioni 126.(Kijijini kama mjini)

-Amefikisha maji ya Bomba Kwa zaidi ya Vijiji 11,000.(Kampeni ya kumtua Mama ndio kichwani).

-Amefikisha umeme Kila Kijiji,kazi inaendelea kwenye vitongoji na migodi ya umeme.

-Amewasha Umeme gridi ya Taifa Mikoa Kigoma,Katavi na kazi zinaendelea Rukwa ,Lindi, Mtwara.

-Kazi zinaendelea ujenzi wa Vyanzo vipya vya Umeme eg Mto Malagalasi,Kakono,Umeme Jua Kishapu,Joto Ardhi Mbeya nk

-Amejenga zaidi ya Shule Mpya za Sekondari 3,200 ,shule za msingi zaidi ya 300 na madarasa 24,000 ,mabweni 137 nk

-Kupitia TanRoads amekamilisha zaidi ya km 1,000 za lami na zingine zaidi ya 3,700 zinaendelea na Ujenzi.

-Kupitia Tarura amejenga zaidi ya km 800 za lami na zingine zaidi ya 500 zinaendelea na Ujenzi (Hapa amefungua maelfu ya Vijijini Kwa Barabara Mpya za changarawe na madaraja). Bajeti ya Tarura aliongeza kutoka bil.270 Hadi Bil.800.

-Sekta ya mifugo amegawa Boti za Kisiasa zaidi ya 200 na viximba zaidi ya 1300 Kwa Vijana.

-Sekta ya Elimu kaongeza mikopo Kwa wanafunzi ambapo Sasa Diploma Hadi Chuo Kikuu wanapata,chekechea Hadi form six Elimu Bure(kafuta ada ya form Six),Kafuta Mapenato na mambo ya hivyo ya Bodi ya Mikopo.

-Katoa Ajira zaidi ya 55,000 kada zote huku Elimu na Afya wakipewa kipaombele.

-Anajenga na kukamilisha zaidi ya miradi ya maji 3,700 mikubwa Kwa midogo mfano mradi wa Miji 28,bwawa la kidunda na kukwamua miradi iliyokwamba kama same-mwanga,Tarime-Kiabakari nk.

-Kwenge sekta ya biashara baada ya maboresho maelfu ya miradi imemenika Kila sekta baada ya Wafanyabiashara kurejesha Imani Kwa Serikali Kupitia sera ya Diplomasia ya Uchumi na kuifungua Nchi.Hakuna ziara ambayo mama alifanya Nje ya Nchi hajakutana na Wafanyabiashara wa Kimataifa.

-Sekta ya michezo na Burudani.Huko Kila mtu anajua kwamba Mama alikatabati viwanja,akaleta ufunguzi wa AFL na sasa ameileta Afcon 27 na uwanja Mpya inajengwa Arusha.Likewise kuwapa mikopo Wasanii.

Kiufupi ni vigumu kuelezea vyote,pamoja na Changamoto ila Mama kaupiga mwingi ,Anatosha na Chenji inabakia.

View: https://www.instagram.com/p/C59CY7uMJC5/?igsh=MTNiYnozM2hubjMwZQ==
My Take
Yote hayo kafanya na anaendelea kufanya lakini hajawahi acha mradi hata 1 aliourithi kutoka Kwa Mwendazake kama Bwawa la JNHPP,Daraja la JPM,EACOP,SGR,Ndege Mpya,Ujenzi wa Mji wa Serikali na hajatoa visingizio.

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1781317600514809949?t=yhy9JBufLMEhmo34FTghDg&s=19

Mfumuko wa bei wa bidhaa mbalimbali katika miaka 3 ya Mama pia ni Muujiza
 
View: https://www.instagram.com/p/C6DdTvSsWca/?igsh=MTZkc2EycHlraTJlaw==
 
Huyu ndio Samia Sasa 👇👇View attachment 2968961

On top of that Kuna yafuatayo

-Ruzuku ya mbolea Kwa wakulima,
-Kuifungua na kuifufua sekta ya Utalii uliokufa Arusha,
Kuifufua sekta ya nyumba
-Ujenzi wa matanki ya kutunzia Mafuta Dar Port
-Ujenzi w majengo ya Utawala, taasisi
ununuzi wa vitendea kazi kama magari,ambulance,pikipiki
-Ujenzi wa Stendi na masoko mbalimbali
-Demokrasia na kufungulia vyombo vya Habari vilivyofungiwa

Hakuna Rais anaweza mzidi Samia Kwa Delivery ila Kwa kelele na kijimwambafy wapo wengi watamzidi.

Pia Samia anajua sana kutafuta pesa na ana nyota Kali sana.

View: https://twitter.com/InvestTanzania/status/1770776016060846403?t=c9tYrS-lR90sUkDFYYSmyw&s=19View attachment 2969065

Chawa wa kisiasa

Hakuna kitu chochote kigeni alichoanzisha saa100 zaidi ya zile zilizoainishwa kwenye iLani ya CCM ya 2020-2025 maana yake miradi yote hiyo ilibuniwa na kunadaiwa kwenye uchaguzi na JPM yeye akiwemo.

Kwa msimpake mafuta kwa mgngo wa chupa asubiri Ilani ijayo ya 2025-2030 kuweka ya kwake na aitekeleze hapo ndio unaweza kumpongeza.
 
Una uhakika? Miradi ya uviko ilikuwa kwenye Ilani? Mimi Ilani ninayo na miradi Mingi haipo ikiwemo Bwawa la JNHPP,Kidunda Wala Sgr havikuwwpo.

Pili hata kwenye hiyo Ilani Samia ndio ametekeleza kushinda Magufuli,unabisha?
 
1. UVIKO ni mradi wa wema au wizi kutoka kwa wafadhili?

2. Nani alianzisha mradi wa JNHPP, Vidunda na SGR?

3. Nani alianzisha miradi ya maji, hospitali za kanda, zahanati na vituo vya afya?

4. Nani alianzisha ujenzi wa Ikulu ya Dodoma na kuhamisha watumishi wote wa serikali kwenda huko?

5. Nani alinunua ndege zilizokodiwa kwa shirika la ATCL?

6. Nani alifanya miradi mingi ya barabara korofi na ikakamilika kwa ubora?

7. Kwanini barabara ya njia nane kutoka Kimara hadi Kibaha haijazinduliwa hadi leo?

8. Nani alinunua rada ya usalama wa anga Tanzania badala ya kutumia za nchi jirani ya Kenya?

9. Nani alianzisha mchakato wa ujenzi wa viwanja vya ndege Tanzania nzima katika mikoa ya kimkakati yote?

10. Nani alianzisha ujenzi wa meli katika maziwa makuu yote Tanzania kwa kutumia makandarasi wa ndani na baadhi kutoka Korea kusini?

11. Nani aliweka mfumo sahihi wa ukusanyaji wa mapato kupitia TRA?

12. Nani aliwagusa wezi na waharifu walioshindikana waliokuwa wanaharibu uchumi wa nchi kwa kuhodhi njia za kiuchumi?

13. Nani alijenga masoko yenye hadhi katika mikoa ya kimkakati (Mtwara, Dar, Morogor, Mwanza, Dodoma, Mbeya, Iringa) bila kulazimika kuchoma yaliyopo kwa njia zisizo halali

14. Nani aliyejenga vituo vingi vyenye hadhi vya mabasi katika mikoa kadhaa (Dar, Dodoma, Tanga, Mwanza, Iringa)
 
Unakuwa kama jinga na poyoyo.

Naweza hata nisikujibu,kwamba kabla ya unaedhani alianzisha hayo yote yalikuwa hayafanyiki na Wala Hayajawahi fanyika hapa Tanzania?

Una akili sawa sawa kichwani? Kwanza kwenye mada yangu sijaweka miradi ya Magufuli hata mmja,nimeweka miradi aliyoanzisha Samia ndani ya miaka 3
 
Usiandike ukosefu wa akili wako humu kwa mapenzi yako ya upande mmoja na chuki zako binafsi
 
Back
Top Bottom