Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hivi ujishtukii Kila mtu anakukataa kwahiyo huyo Samia mazuri unayaona wewe peke yako mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kundi kubwa la wajinga likikataa au kukubali jambo ndio werevi wachache wakubaliane?Hivi ujishtukii Kila mtu anakukataa kwahiyo huyo Samia mazuri unayaona wewe peke yako mzee🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Aliyekwambia bei ya 27,000 ilifutws ni nani? Unajua utaratibu wa kutoza 27,00?Kwahio sababu walifanya upuuzi awamu ya tano ambao ndio hawahawa wapo awamu ya 6 upuuzi huu uendelee ?
Kwamba kuunganishwa kwa Tshs 27,000 haikuwahi kushuswa Samia akaja kurudisha kwenye malaki tena (au nilikuwa naota na haikutokea)?
Kwamba hii Bima ni Fit for purpose ? Na ingekuwa Fit for purpose watu wangekuja na ideas za kuanza kuwakata watu kwenye Line zao za Simu ? Kwamba huduma zote zinapatikana kwenye Hio so called Bima Affordable au kuna Dawa zimepunguzwa ?
Wewe unaongelea uhuru jambo ambalo wala hauhitaji kupewa ni haki yako mimi naongelea Bei za bundle kuongezeka maradufu sababu ya upuuzi wa TCRA kuweka bei elekezi..., Naongelea hawa watunga sera wasio na mawazo mbadala wanaotoa suggestions na watu waanze kulipia mpaka whatsApp calls utadhani hawalipii kwenye kununua bundle
Kwahio incompetence ya hiki kizazi ndio iwe hukumu kwa vizazi vijavyo ? Kama sisi ni incompetent ndio watu wafanye maamuzi ya ku-cost vizazi ? Kwamba ni incompetent hata wa kuleta wataalamu wafanye tuwalipe na sisi kubakia na asilimia 100%
Kweli hata chizi uwa anajiona yupo sawa Kwa anachokifanya wakati watu wanamshangaa chawa kwenye Moja na mbiliKwani kundi kubwa la wajinga likikataa au kukubali jambo ndio werevi wachache wakubaliane?
Ndio sijistulii,kama wewe huoni usilazimishe na wengine wasione maana sio lazima uone.Unaweza kuona kile unachotaka.
JPM alibadilisha kila mtu atoe hio na sio vijijini pekee Samia akaja akasema itaendelea baada ya hapo kama yalivyo mambo mengi ya wanasiasa kilichosemwa tofauti na kilichotokea (Januari akapindua Meza)Aliyekwambia bei ya 27,000 ilifutws ni nani? Unajua utaratibu wa kutoza 27,00?
Pitia hapo Privatisation only serves public interest if and only if kunakuwa na competition...Mwisho Lengo la ubinafsishaji ni kuongeza ufanisi Kwa maslahi ya kizazi Cha Sasa na kijacho.
Mengine ni umeandika porojo zisizo na msingi.
Kwa hiyo wewe mjini uliwahi kulipa 27,000 ukapata umeme au siyo? 😆😆😆JPM alibadilisha kila mtu atoe hio na sio vijijini pekee Samia akaja akasema itaendelea baada ya hapo kama yalivyo mambo mengi ya wanasiasa kilichosemwa tofauti na kilichotokea (Januari akapindua Meza)
Pitia hapo Privatisation only serves public interest if and only if kunakuwa na competition...
Does Privatization Serve Public Interest
Everything has Pro and Cons; and before you do anything you need to weigh the Pro over the Cons..., We need to understand what we want, because what we might want, might not be solved by what we might do... To encapsulate that, I hereby bring forward an article which might shade some light on...www.jamiiforums.com
Na ukimaliza hapo nikupe Case Study ya Privatization na magwiji / mfano ambao wengi huwa wanatoa kwamba walifanikiwa (UK\) na ni kipi kilichowakuta / kinachowakuta
Ukiona mtu anashangaa chizi basi ujue huyo ndio chizi mwenyewe ila hajitambui 😁😁Kweli hata chizi uwa anajiona yupo sawa Kwa anachokifanya wakati watu wanamshangaa chawa kwenye Moja na mbili
Ukiona mtu anashangaa chizi basi ujue huyo ndio chizi mwenyewe ila hajitambui 😁😁
Jikite kwenye hoja haja,
View: https://www.instagram.com/p/C5-0v96IFu8/?igsh=a3ExcnExaDYwcGZ1
Huna hoja kabishane na wajinga wenzakoHata chizi uwa anajiona yupo sawa anavyofanya vitu vya ovyo siwezi kushangaa
Mjinga ni wewe ulievuliwa ubingwaHuna hoja kabishane na wajinga wenzako
Umeongea uhalisia mkuu.Na kama hii ndio attitude ya viongozi / watumishi wetu basi hawafai kuwa viongozi (You Should Aim for the Moon) na nataka Viongozi wanaoamini kwamba Poverty is Man made na kwenye dunia ambayo inazalisha chakula kingi cha kuweza kulisha kila mtu mara saba na kila mtu mmoja kati ya watu saba wana njaa kuna sehemu tumekosea na haitakiwi kuwa hivyo... Na unaongelea nchi nyingine ambazo kuna mifumo ya welfare na Taasisi za kutoa chakula kwa wasionacho au pengine kuna un-employment benefits nashindwa kukuelewa...; alafu wewe unaongelea umasikini wa kukosa gari number E mimi naongelea umasikni wa kukosa / kutokuwa na uhakika wa mlo mmoja kwa siku let alone mitatu....
Kwahio nahitaji takwimu wakati najua kabisa majority ya watanzania hawana ajira zinazoeleweka hata wale walionazo ukipiga uwiano wa bei ya bidhaa na kile wanachopata hakitoshelezi hata siku 10 katika mwezi let alone mwezi mzima (na hao ndio wapo well-off) angalau wana uhakika Benki itasoma mwisho wa mwezi ?
Nahitaji takwimu za nini wakati naona walinzi waliojazana kwenye kazi ni mpaka wazee wanaokesha na kufanya kazi mwezi mzima bila kupumzika kwa malipo ambayo hata nauli tu hayatoshi hivyo inabidi watembee kwenda kwao (tena bora wanafanya ulinzi huenda wanapata sehemu ya kulala sababu huko wanapopanga wanapunguza kugongewa milango ya kudaiwa kodi); na mzee huyu siku akiugua anaogopa kwenda hata hospitali kwa kukosa pesa za matibabu...
Huo ndio uhalisia wa Mtanzania wa Kawaida....
Mkuu mfumo dume umechangia,walio wengi walidhani Mama Samia ni mtu wa kuendesha tu,hana lolote.Lakini pale alipoanza kuonyesha makali ya kistaarabu katika kubuni na kusimamia mfuko wa COVID,wenye riba karibu sifuri,ndio tukasikia mambo ya nchi imeuzwa wakati huko nyuma kimya kimya tulikuwa tukikopa kwa riba kubwa hata 15% kwa benki za Shailoki"Kausha Damu"tena grace period ya muda mfupi,sababu ya kutozingatia kanuni za Benki hizo za Maendeleo zenye riba nafuu.Miradi ya Mjomba Magu karibu yote ipo hatua nzuri na nyingine imekamilika.Samia akifanya kosa moja litashikiwa bango kulinganisha na mema mia anayoendelea kuyafanya. Sababu haswa ni jinsi yake ya kike, wengi wetu tunaishi na mtazamo duni kwamba mwanamke ni dhaifu na hawezi kufanya kitu.
Pia walitaka Samia awe anagombana hovyo tu na mataifa makubwa ya wazungu yeye kawa kinyume kabisa.Mkuu mfumo dume umechangia,walio wengi walidhani Mama Samia ni mtu wa kuendesha tu,hana lolote.Lakini pale alipoanza kuonyesha makali ya kistaarabu katika kubuni na kusimamia mfuko wa COVID,wenye riba karibu sifuri,ndio tukasikia mambo ya nchi imeuzwa wakati huko nyuma kimya kimya tulikuwa tukikopa kwa riba kubwa hata 15% kwa benki za Shailoki"Kausha Damu"tena grace period ya muda mfupi,sababu ya kutozingatia kanuni za Benki hizo za Maendeleo zenye riba nafuu.Miradi ya Mjomba Magu karibu yote ipo hatua nzuri na nyingine imekamilika.
Mama ni msikivu,hana majivuno,na nchi inasonga mbele.
Kilichobaki deni kwa Mama yetu ni katiba mpya ili asije tena mtu wa kutugeuza watumwa ndani ya nchi yetu.
Mjomba Magufuli self discipline ilikuwa shida hata akatimuliwa seminary akiwa form 2.Pia walitaka Samia awe anagombana hovyo tu na mataifa makubwa ya wazungu yeye kawa kinyume kabisa.
JPM alikuwa na hulka ya ubishi mpaka kupitiliza.
Kugombana na mabalozi akiwa ndio kwanza kaingia ikulu lilikuwa suala la ajabu sana. Kaja kumfukuza kazi yule dada mtaalam wa vipimo na maabara.Mjomba Magufuli self discipline ilikuwa shida hata akatimuliwa seminary akiwa form 2.
Kuna mambo yalikuwa hayaitaji ugomvi ilitakiwa busara tu, hadi nchi kama Denmark ikafunga ubalozi.
Unagombana na Benki za Maendeleo na Taasisi zake zinazotoa .mikopo mikubwa yenye riba nafuu na grace period ya miaka mingi,na wakati mwingine wanakufutia deni hilo na kuligeuza grant.
Ukisha watukana unakimbilia kwa Benki za Shyilok anayetaka ratili ya nyama karibu na moyo wako.
Hayo yameelezwa na KM wa CCM Dkt.John Nchimbi wakati wa ziara yake ya Mikoa 6 akiwa Njombe.
DK Nchimbi ameonekana kushangazwa na kufurahishwa na Wingi wa miradi na maendeleo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika akisema ni kama miujiza maana kilichotakiwa kufanyika Kwa muda mrefu kimewezekana ndani ya mda mchache kabisa.
Kwa wasio fahamu,haters na wabishi hii hapa ni summary tuu ya kilichofanywa na Samia.👇👇
-Mapato ya TRA kuongezeka kutoka wastani wa 1.5T Hadi 2.2T(ongezeko bil.700 )
-Makusanyo ya Halmashauri kuongeza kutoka Bil.800 Hadi Trilioni 1.2(Ongezeko Bil.400)
-Ongezeko la Mapato ya Utalii Hadi 3.5T(Watalii 1.9m) kutoka 3T(Watalii 1.5mln).
-Ujenzi wa Bandari Ziwa Nyasa(MbambaBay),Ziwa Tanganyika(Kigoma),Ziwa Victoria (Mwanza,Bukoba,Chato) na Bhari ya Hindi(Dar,Tanga,Kilwa na Mtwara).
-Ujenzi wa viwanja wa ndege 15 Unaendelea Tanzania nzima eg Sumbawanga,Tabora,Shinyanga,Kigoma,Ruaha NP,Nyerere NP,Moshi,Iringa nk huku akikamilosja viwanja vya Songwe, Songea,Iringa na Katavi.
-Ujenzi wa Hospital za Wilaya mpya 129 ,Mikoa 7 na Rufaa za Kanda 3(Mtwara,Kigoma na Ukerewe).
-Ujenzi wa Vituo vya Afya vipya 402 kwenye kata za kimkakati hapo tozo za miamala (234).
-Ununuzi wa vifaa tiba ambavyo havikuwahi kuwepo Kwenye hospital za Tanzania mfano Ultra Sound 192 ,Digital X-rays 147,CT Scan 32,MRI machines 7.
-Ujenzi wa majengo ya Wagonjwa Mahututi(ICU) 28 na Dharula 127,
-Upanuzi na Ujenzi wa Vyuo Vikuu vipya na kampasi za Vyuo kwenye Mikoa 14 ambayo swali haikuwa na Vyuo Vikuu au kampasi eg Kigoma,Simiyu,Njombe,Ruvuma, Rukwa,Katavi,Shinyanga,Lindi,Mtwara nk.
-Kaongeza Bajeti Kila Wizara ila Kwa upekee ni Wizara ya Kilimo(Umwagiliaji )kutoka Bil.270 Hadi Bilioni 950.Skimu Mpya za uwamwagiliaji hectare 95,000 zimejengwa na kufufuliwa,kafungua ofisi za Kilimo Kila Wilaya na kaajiri Wataalamu na kawapa vitendea kazi.
-Kaondoa shida ya vitambulisho NIDA,zaidi ya vitambulisho 12,000,000 vimegawiwa.
-Ujenzi wa minara mipya 1,200 ambapo Kupitia mradi wa Tanzania ya Kidijitali minara 728 inaendelea na Ujenzi Kwa Bilioni 126.(Kijijini kama mjini)
-Amefikisha maji ya Bomba Kwa zaidi ya Vijiji 11,000.(Kampeni ya kumtua Mama ndio kichwani).
-Amefikisha umeme Kila Kijiji,kazi inaendelea kwenye vitongoji na migodi ya umeme.
-Amewasha Umeme gridi ya Taifa Mikoa Kigoma,Katavi na kazi zinaendelea Rukwa ,Lindi, Mtwara.
-Kazi zinaendelea ujenzi wa Vyanzo vipya vya Umeme eg Mto Malagalasi,Kakono,Umeme Jua Kishapu,Joto Ardhi Mbeya nk
-Amejenga zaidi ya Shule Mpya za Sekondari 3,200 ,shule za msingi zaidi ya 300 na madarasa 24,000 ,mabweni 137 nk
-Kupitia TanRoads amekamilisha zaidi ya km 1,000 za lami na zingine zaidi ya 3,700 zinaendelea na Ujenzi.
-Kupitia Tarura amejenga zaidi ya km 800 za lami na zingine zaidi ya 500 zinaendelea na Ujenzi (Hapa amefungua maelfu ya Vijijini Kwa Barabara Mpya za changarawe na madaraja). Bajeti ya Tarura aliongeza kutoka bil.270 Hadi Bil.800.
-Sekta ya mifugo amegawa Boti za Kisiasa zaidi ya 200 na viximba zaidi ya 1300 Kwa Vijana.
-Sekta ya Elimu kaongeza mikopo Kwa wanafunzi ambapo Sasa Diploma Hadi Chuo Kikuu wanapata,chekechea Hadi form six Elimu Bure(kafuta ada ya form Six),Kafuta Mapenato na mambo ya hivyo ya Bodi ya Mikopo.
-Katoa Ajira zaidi ya 55,000 kada zote huku Elimu na Afya wakipewa kipaombele.
-Anajenga na kukamilisha zaidi ya miradi ya maji 3,700 mikubwa Kwa midogo mfano mradi wa Miji 28,bwawa la kidunda na kukwamua miradi iliyokwamba kama same-mwanga,Tarime-Kiabakari nk.
-Kwenge sekta ya biashara baada ya maboresho maelfu ya miradi imemenika Kila sekta baada ya Wafanyabiashara kurejesha Imani Kwa Serikali Kupitia sera ya Diplomasia ya Uchumi na kuifungua Nchi.Hakuna ziara ambayo mama alifanya Nje ya Nchi hajakutana na Wafanyabiashara wa Kimataifa.
-Sekta ya michezo na Burudani.Huko Kila mtu anajua kwamba Mama alikatabati viwanja,akaleta ufunguzi wa AFL na sasa ameileta Afcon 27 na uwanja Mpya inajengwa Arusha.Likewise kuwapa mikopo Wasanii.
Kiufupi ni vigumu kuelezea vyote,pamoja na Changamoto ila Mama kaupiga mwingi ,Anatosha na Chenji inabakia.
View: https://www.instagram.com/p/C59CY7uMJC5/?igsh=MTNiYnozM2hubjMwZQ==
My Take
Yote hayo kafanya na anaendelea kufanya lakini hajawahi acha mradi hata 1 aliourithi kutoka Kwa Mwendazake kama Bwawa la JNHPP,Daraja la JPM,EACOP,SGR,Ndege Mpya,Ujenzi wa Mji wa Serikali na hajatoa visingizio.
View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1781317600514809949?t=yhy9JBufLMEhmo34FTghDg&s=19
🤣 🤣 🤣Matusi ndio laana yenu watanganyika 🐼
Ushauri mara nyingine ukitaka kubisha kitu anagalau tafuta Data au hata uwe unasoma kilichoandikwa.... Mwanzo Vijijini inapopeleka REA ilikuwa 27k na pengine mpaka kwenye laki tatu na ushee anapopeleka Tanesco Awamu ya tano wakasema wote bei itakuwa hio (27K)..., Samia alivyoingia bei iliendelea kuwa hio 27K na Kalemani alisema itaendelea kuwa hio na katika Ziara za Samia alisikika pia akisema itaendelea kuwa hio.....Kwa hiyo wewe mjini uliwahi kulipa 27,000 ukapata umeme au siyo? 😆😆😆
Unayumba sana mara useme imefufwa mara useme Iko Vijijini yaani hueleweki.
Sasa kwa taarifa Yako miradi ya lea iliyoko pembezoni mwa Miji na vitongoji inalipwa 27,000.
Mwisho tafuta sababu zingine Hilo la umeme limekushinda.
🆒📝🤝🙏Me ila nime like pages mbalimbali na sources mbalimbali ambazo naweza pata taarifa fasta nikiihitaji Kwa sababu napenda mijadala so lazima niwe na ushahidi.Biashara ya uzushi kwangu hapana.
Samia ndio pekee hapa Tanzania hana kashfa ya Rushwa Wala Ufisadi,Lisu amefukunyua kashindwa na yeye alikiri Hilo.
Mkuu achana naye, tiririka tupo pamoja na wewe! Andiko lako limemshika pabaya! Mwache agugumulie ukali wa hoja yako!Wewe ni Lodi lofa