Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ni watu wapumbavu tu kama mleta ndiyo wanaamini huu upumbavu!
 
Nakubaliana na hii kwΓ  100%βœ“
 
June ni wiki ijayo tu na mkataba wa ujenzi wa SGR lot 5 unamtaka mkandarasi (CCECC) akabidhi mradi ngoja tuone huo muujiza wa Samia.
 
June ni wiki ijayo tu na mkataba wa ujenzi wa SGR lot 5 unamtaka mkandarasi (CCECC) akabidhi mradi ngoja tuone huo muujiza wa Samia.
Unaelewa maana ya extension of time?
 
Tatzio ni Ushoga!
 
Kuwanayo na kutokuwanayo wa kuulizwa ni huyo huyo serikali, sasa leo hii serikali ikitekeleza lililopaswa kutekelezwa inakuaje kuwa ni ajabu?

Hakuna upekee hapo, kama ulisema kwamba kila rais anafanya zaidi ya mtangulizi wake sasa inakuaje kuwe na upekee kwa Samia? Au Tanzania imekuwa kama Afrika kusini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Extension wapi wewe!!

Mnajifaragua makusanyo wakati mradi umesimama hela hamna mnapitisha mabakuli huku na kule.
Jibu swali unaelewa maana ya extension of time kwenye mkataba?
 
Kuna ajabu au inapongezwa? Ulitaka itukanwe au? 😁😁

Kazi nzuri ya Samia Iko appreciated na Wananchi kama hivi πŸ‘‡

View: https://twitter.com/UhondoTV/status/1793326527922274512?t=fzp-gZvTYNMkksA8oBWAyw&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…