Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ajira kiasi gani?
Mfumuko wa bei?
Kikokotoo?
Biashara ngapi zimeanzishwa?
Biashara ngapi zimefungwa?
Bima ya afya?
GDP per capita?
Viwanda?
Nauli za ndege?
Ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi gani?
Katiba mpya?

Madeni na tozo hawasemi kabisa utafikiri tunaendesha nchi kwa hela kutoka Kizimkazi .

Akiondoka hawa hawa chawa watamponda sana kwa kila aina ya kejeli na maneno ya kashfa
.
Filippi Mpango atuombe Radhi kama tulikua tuna mikopo mikubwa wakati wa JPM kwa alituambia kuwa tunajitegemea kwa asilimia kubwa .
Vinginevyo wamemweka pale kumziba mdomo bada ya wajanja kusafisha benki kuu mara tu JPM alipoanza kuugua .

Yote kwa yote hatutaki Rais kutoka nchi jirani .

Urais wake wa mpito ni kama ule wa Tanzania kumweka mwanajeshi mmoja kuwa Rais kule Uganda baada ya vita vya Uganda ili kuwapa waganda muda wa kumrejesha rais mzawa.

Zanzibar ni Nchi na ina wazanzibari wenye Rais Mzanzibari .
Tanganyika ni nchi yenye wafu wa makabila 127 inatawaliwa na Rais kutoka nchi ya Zanzibar.

Kwa hiyo nchi moja ina marais wawili kwa wakati mmoja.

Hiyo ni Tanzania pekee ambapo nchi moja ina Marais wawili wanaotawala nchi Tafauti kwa wakati mmoja. Huo ni uvamizi wa kimya kimya ndio maana wanauza kila kitu cha Tanganyika na kuacha madeni .


Hata mkoloni alijenga mashule na Magereza na mahakama nchi nzima tena from ziro kabisa nchi ikiwa mapori tu .Sembuse sasa kila kitu kipo ndio maana Rais wa Korea alipoapishwa tu alinunua masemi kwa maelfu kujinufaisha.
 
Umeandika msululu wa ujinga kama hukwenda shule.

Kazi inaendelea πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://www.instagram.com/p/DAm12-7objk/?igsh=MjdidW9ud2pzaHV4
View: https://www.instagram.com/p/DAluLI6ueHV/?igsh=djRrMHBqaGZ2bjVp
 
Lakini alisema watu hawalipi kodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…