Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Lakini alisema watu hawalipi kodi
Unaacha kusikiliza Rais alichokisema na ujumbe wake unataka kile unachotaka ukitamke.

Kwanza sio mara ya kwanza Rais kusisitiza Kodi ,amesema hayo zaidi ya mara 3 au 4.

Rais Yuko clear kabisa kwamba Kodi zinazolipwa hazilingani na Ukubwa wa Uchumi wa Nchi na akasisitiza Kuna ukwepaji wa Kodi na underpayments.

Kamsililize vyema wakati akimuapisha Kamishna Mpya.
 
Back
Top Bottom