ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #341
Unaacha kusikiliza Rais alichokisema na ujumbe wake unataka kile unachotaka ukitamke.Lakini alisema watu hawalipi kodi
Kwanza sio mara ya kwanza Rais kusisitiza Kodi ,amesema hayo zaidi ya mara 3 au 4.
Rais Yuko clear kabisa kwamba Kodi zinazolipwa hazilingani na Ukubwa wa Uchumi wa Nchi na akasisitiza Kuna ukwepaji wa Kodi na underpayments.
Kamsililize vyema wakati akimuapisha Kamishna Mpya.