ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #341
Unaacha kusikiliza Rais alichokisema na ujumbe wake unataka kile unachotaka ukitamke.Lakini alisema watu hawalipi kodi
Hakuna miujiza,limefika huko Kwa bahati nzuri kabisa ya s kuleta maendeleo na utitiri wa miradi kama hii 👇👇Na Deni la taifa limepanda Kimuujiza kutoka 60 mpaka 90T.
Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunahangaikia maji,barabara na umeme?Hakuna miujiza,limefika huko Kwa bahati nzuri kabisa ya s kuleta maendeleo na utitiri wa miradi kama hii 👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DA_DFxYu_eL/?igsh=MXFjN3d0cm1saGxiNw==
Maendeleo hayana mwisho,watu wanaongezeka,Nchi kubwa so kazi zinaendelea.Miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunahangaikia maji,barabara na umeme?
Maendeleo hayana mwisho,watu wanaongezeka,Nchi kubwa so kazi zinaendelea.
Samia amejitahidi kuliko kawaida
Hilo sio swali ni jibuKwahiyo unataka kuniambia watu wakiongezeka SGR itajengwa nyingine?