Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama alichoandika chawa ni ukweli, basi huku ninakoishi sio Tanzania, maisha magumu afadhali ya Jana. Maharage na dagaa sio chakula cha masikini tpena kila kitu bei juu
 
Kikubwa kilichonifuraisha ni kodi kuongezeka mapato bila wafanyabiashara kukimbizwa kimbizwa na tra
 
Haya ndio mambo tunataka sio kila siku ndugu zetu wanataka wananchi wote tuwe wanaharakati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…