Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nchimbi hajui nini maana ya Muujiza, samia na familia yake ni wezi wakubwa leo wawe muujiza, Mungu atusamehe
 
Ajira kiasi gani?
Mfumuko wa bei?
Kikokotoo?
Biashara ngapi zimeanzishwa?
Biashara ngapi zimefungwa?
Bima ya afya?
GDP per capita?
Viwanda?
Nauli za ndege?
Ajali za barabarani zimepungua kwa kiasi gani?
Katiba mpya?
 
Hakuna lolote ni uchawa uliokubuhu TU!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…