ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #441
Unaelewa maana ya chawa au unaropoka Kwa sababu kasema ukweli unaomihusu usiyempenda?Huyu nae ni chawa tu wa Samia. Kwa kua kapewa cheo na mwenyewe ni mroho wa madaraka ndio anaona rais kaleta maeneleo makubwa. Et anasifia makusanyo ya TRA kuongezeka wakati tunajua shilingi imeshuka thamani kwa hivyo hela kama sio ileile itakua imepungua mtu akilinganisha thamani halisi. Maisha ya wavuja jasho yanaendelea kua magumu. Hospitali za serikali huduma ghali utafikiri ni za binafsi. Madaktari wameachwa kuendesha biashara ya matibabu kwa kutumia uwekezaji wa umma. Rushwa imeongezeka polisi na mahakama wamegeuza kazi zao kampuni zao binafsi kujipatia kipato kikubwa huku wanapewa mishahara kutoka hazina ya taifa. Nchimbi aache ulaghai hayo aliyotaja kwanza mengi ni miradi ya awamu ya 5 na mengine ni kazi za kawaida tu za serikali.
Jadili hoja yake ,nimeweka orodha hapo eleza miradi ya Magufuli ni ipi?
Pili miradi ya Magufuli yenyewe sio kazi za kawaida za serikali? 😆😆
Mwisho huduma za serikali hususani Afya zingekuwa ghali watu si wangekimbia Hospital za Umma na kwenda private,Sasa mbona wanajaa pomoni kwenye hospital za Umma?👇👇
View: https://www.instagram.com/p/DBec9h8u8Ue/?igsh=MWxpeWRmbjY4eGJiZA==