Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
'This form of attribution' ilianza wakati wa awamu ya tano na imeendelea awamu ya sita. Je, kwa awamu 1-4 maendeleo yalifanywa na nani? Maana sikuwahi kusikia Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wamejenga shule, barabara, nunua magari, etc. Je, what's the right form of attribution? Kusema Rais kafanya ABC au serikali ya Tanzania imefanya ABC?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…