Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nyie mpo kwenye dunia yenu na mengi alizungumza mhariri ni miradi ya Magufuli. Nitafutue picha ya Zahanati au kituo Cha afya mtaani kwako Leo inayojengwa alafu piga picha itume.

Ni waongo sana ninyi, hata takwimu ni za uongo.
 
Samia akifanya kosa moja litashikiwa bango kulinganisha na mema mia anayoendelea kuyafanya. Sababu haswa ni jinsi yake ya kike, wengi wetu tunaishi na mtazamo duni kwamba mwanamke ni dhaifu na hawezi kufanya kitu.
Ukilala usiku hua unaota kweli au ni fuvu lisilo na wire kichwani?

Mambo yote yametajwa ni miradi ya Magufuli, miradi Gani yeye katekeleza, kama ni growth in different sector ukiangalia Kwa umakini ni matokeo ya maandalizi makubwa her predecessor amefanya.
 
Ukiwa umejawa na chuki huwezi kuona mengi yanayofanyika kwa sababu hiyo chuki inakutia upofu.

DP World hapo bandarini wamebadilisha kabisa utendaji wa kazi na faida za kiuchumi zinaanza kuonekana, hiyo ni kazi ya Samia.

Tembea huko mikoani uone mfumuko wa viwanda vilivyoanza kufanya kazi baada ya JPM kufariki dunia.
 
DP world naomba nitumie mkataba, Kwa Nini bungee halikpata nakala
 
Hapa kuna muhtasari wa taarifa ulizotoa, ukionyesha kwamba kuna mwelekeo wa upotoshaji:

1. TanRoads:
- Inadai kwamba wamekamilisha zaidi ya kilomita 1,000 za lami.
- Inasema kuwa zaidi ya kilomita 3,700 zinaendelea na ujenzi, lakini hii inaweza kuwa na upotoshaji kuhusu kiwango halisi cha maendeleo.

2. Tarura:
- Inadai kujenga zaidi ya kilomita 800 za lami.
- Inasema kuwa zaidi ya kilomita 500 zinaendelea na ujenzi, lakini kunaweza kuwa na mashaka kuhusu usahihi wa takwimu hizi.
- Inatoa taarifa kwamba wamefungua maelfu ya vijiji kupitia barabara mpya za changarawe na madaraja.
- Bajeti ya Tarura inadaiwa kuongezeka kutoka bilioni 270 hadi bilioni 800, ambayo inaweza kuhitaji uthibitisho zaidi.

Taarifa hizi zinapaswa kufanyiwa uchunguzi ili kubaini ukweli wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…