Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama makusanyo yameongezeka mbona Kuna watu wanakufa huko katika zahanati Kwa kukosa elfu 15 hizo pesa zinaenda wapi
 
Haya ya Samia na yale ya Magu yapi ni makali zaidi? yaani ya ki-miujiza au kwa naneno mengine ya kinabii
CCM maelezo tafadhali.
 
Haya ya Samia na yale ya Magu yapi ni makali zaidi? yaani ya ki-miujiza au kwa naneno mengine ya kinabii
CCM maelezo tafadhali.
Magi hakuna alichokamilisha yote anafanya Samia
 
Back
Top Bottom