ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #761
Makusanyo kuongezeka ndio dawa ya kuzuia watu Kufa? Acha ufala basiKama makusanyo yameongezeka mbona Kuna watu wanakufa huko katika zahanati Kwa kukosa elfu 15 hizo pesa zinaenda wapi
Magi hakuna alichokamilisha yote anafanya SamiaHaya ya Samia na yale ya Magu yapi ni makali zaidi? yaani ya ki-miujiza au kwa naneno mengine ya kinabii
CCM maelezo tafadhali.
Kazi za mama zinaonekana π π