Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Zawadi? ni Kodi zao wananchi inakuwaje ni hisani? Huo ni utekelezaji wa CCM manifesto ili wachaguliwe tena, siyo hisani, ni ajira waliyotuomba kwa kutupigia magoti😆
Acha porojo zisizo na msingi
 
-Kikokotoo dhalimu ndio aliasisi ,hata hivyo mama ni msikivu Serikali imesema meimosi majibu yatatoka
-Mfumuko upi wa bei wakati takwimu zote haijawahi zidi 4%? Pili kama Kuna mfumuko wa bei ingeathiri uwekezaji na Mapato ya Serikali lakini yameongezeka mara dufu.
-Bima ya Afya imefanya nini? Sana sana Mama ameleta sheria ya bima ya Afya Kwa wote na kuweka historia , utekelezwaji wake ni WA hatua Kwa hatua ila kabla ya 2028 Kila mtu atatibiwa Kwa bima.
-Ingia TIC utaona maelfu ya biashara yaliyoanzishwa na ndio chachu ya kuongezeka Kwa Mapato ya Serikali.
-Unazungumzia Ajira Kwa Samia? Hilo sio swali ni jibu,zingine hizi hapa 👇View attachment 2968972
Kumbe wewe ni mjinga??kikokotoo kisikie kwa babako au mamako
 
Back
Top Bottom