Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hao ni internet provider hapa Tanzania?
Hao wanatoa huduma za mawasiliano kupitia kitu gani?

Wewe unaweza kutumia hiyo mitandao tajwa bila internet?

Taarifa zako katika kanzidata ya hiyo mitandao unaweza kuipata ofisi gani Tanzania?
 
Internet za TCCL na kampuni zingine binafsi.
 
Ila ukweli ni upi?
Hiyo mitandao ya simu [TTCL n.k] haina kanzidata ya taarifa zako.

Kanzidata ziko kwenye ofisi zao nje ya Tanzania.

Nakupa mfano mwepesi tu, wakati wa vuguvugu la uchafuzi mkuu 2020 Magufuli aliweza kuzuia flow of data ya mtandao wa X kwa Tanzania ila watumiaji waliendelea kuutumia huo mtandao kwa kutumia VPN bila shida yoyote.

Aliye na kanzidata ni mwenye mtandao ndio maana hata account ya Kigogo2014 ilipokuwa suspended aliwaandikia direct Twitter wamtolee hiyo adhabu na sio kuwaomba Tanzania.
 
Kanzi data na internet providers ni vitu 2 tofauti
 
Back
Top Bottom