Kutimiza wajibu si miujiza!
Zawadi? ni Kodi zao wananchi inakuwaje ni hisani? Huo ni utekelezaji wa CCM manifesto ili wachaguliwe tena, siyo hisani, ni ajira waliyotuomba kwa kutupigia magotiπ
Acha porojo zisizo na msingiZawadi? ni Kodi zao wananchi inakuwaje ni hisani? Huo ni utekelezaji wa CCM manifesto ili wachaguliwe tena, siyo hisani, ni ajira waliyotuomba kwa kutupigia magotiπ
Kumbe kuna kasuku wa Jf na wewe mtoa mada
Tuna subiri misaada ya USA kusitishwa ukisubiri miujiza ya bibi yako.ikitokea hata mipigo kumi ya sekunde kuhusu ugonjwa mpya au kuyumba lolote.
Misaada gani? ππTuna subiri misaada ya USA kusitishwa ukisubiri miujiza ya bibi yako.ikitokea hata mipigo kumi ya sekunde kuhusu ugonjwa mpya au kuyumba lolote.
Kumbe wewe ni mjinga??kikokotoo kisikie kwa babako au mamako-Kikokotoo dhalimu ndio aliasisi ,hata hivyo mama ni msikivu Serikali imesema meimosi majibu yatatoka
-Mfumuko upi wa bei wakati takwimu zote haijawahi zidi 4%? Pili kama Kuna mfumuko wa bei ingeathiri uwekezaji na Mapato ya Serikali lakini yameongezeka mara dufu.
-Bima ya Afya imefanya nini? Sana sana Mama ameleta sheria ya bima ya Afya Kwa wote na kuweka historia , utekelezwaji wake ni WA hatua Kwa hatua ila kabla ya 2028 Kila mtu atatibiwa Kwa bima.
-Ingia TIC utaona maelfu ya biashara yaliyoanzishwa na ndio chachu ya kuongezeka Kwa Mapato ya Serikali.
-Unazungumzia Ajira Kwa Samia? Hilo sio swali ni jibu,zingine hizi hapa πView attachment 2968972
Wacha kuropoka ,mama amerekebisha kikokotoo kutoka 33-40% vs 67-60%Kumbe wewe ni mjinga??kikokotoo kisikie kwa babako au mamako
Wacha kuropoka mambo usiyoyajua π πTuna subiri misaada ya USA kusitishwa ukisubiri miujiza ya bibi yako.ikitokea hata mipigo kumi ya sekunde kuhusu ugonjwa mpya au kuyumba lolote.