Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Watu wenye miujiza yenu kama ya Mwamposa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Sisi wengine hatunaga bado mambo ya miujiza. Tunafahamu fika, tunavuma tunayopanda
Watu wenye miujiza yenu kama ya Mwamposa πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Sisi wengine hatunaga bado mambo ya miujiza. Tunafahamu fika, tunavuma tunayopanda
Miujiza inayojadiliwa hapa ni ya Maendeleo kama huu πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/-jgsxRQAvUg?feature=shared
 
Reli ya SGR imekwamia alipoanzisha JPM...Dar Dodoma. na Isaka Mwanza. Niambie maajabu mengine ili pengine nihamie kwa Mwamposa
Una shida ya uelewa sana
1.Sections zote Zina wakandarasi na kazi inaendelea Sasa huko kukwama ndio wapi wewe msukule wa Mwendazake? πŸ˜‚πŸ˜‚

View: https://youtu.be/MQvBEEKYNTw?feature=shared
Kazi inaendelea πŸ‘‡ πŸ‘‡

View: https://youtu.be/QB-sV8chfIA?feature=shared
View: https://youtu.be/wKGkxpTPCcc?feature=shared
Imeishia alipoacha JPM 😁😁

Niongeze nyama au inatosha? πŸ‘‡πŸ‘‡

View: https://youtu.be/bCrl9sCYeWQ?feature=shared
 
Ati nini? Kuwa na wakandarasi ni kitu kimoja...kazi kuendelea ni kitu kingine. Na haya mambo mawili hayahusiani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…