ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wenye miujiza yenu kama ya Mwamposa 😂 😂 😂 😂 😂
Sisi wengine hatunaga bado mambo ya miujiza. Tunafahamu fika, tunavuma tunayopanda
Miujiza inayojadiliwa hapa ni ya Maendeleo kama huu 👇👇Watu wenye miujiza yenu kama ya Mwamposa 😂 😂 😂 😂 😂
Sisi wengine hatunaga bado mambo ya miujiza. Tunafahamu fika, tunavuma tunayopanda
Miujiza inayojadiliwa hapa ni ya Maendeleo kama huu 👇👇
View: https://youtu.be/-jgsxRQAvUg?feature=shared
Una shida ya uelewa sanaReli ya SGR imekwamia alipoanzisha JPM...Dar Dodoma. na Isaka Mwanza. Niambie maajabu mengine ili pengine nihamie kwa Mwamposa
Una shida ya uelewa sana
1.Sections zote Zina wakandarasi na kazi inaendelea Sasa huko kukwama ndio wapi wewe msukule wa Mwendazake? 😂😂
View: https://youtu.be/MQvBEEKYNTw?feature=shared
Kazi inaendelea 👇 👇
View: https://youtu.be/QB-sV8chfIA?feature=shared
View: https://youtu.be/wKGkxpTPCcc?feature=shared
Imeishia alipoacha JPM 😁😁
Niongeze nyama au inatosha? 👇👇
View: https://youtu.be/bCrl9sCYeWQ?feature=shared
Kwa hiyo utajenga bila wakandarasi? 😂😂Ati nini? Kuwa na wakandarasi ni kitu kimoja...kazi kuendelea ni kitu kingine. Na haya mambo mawili hayahusiani
Kwa hiyo utajenga bila wakandarasi? 😂😂
Unawezaje kusaini miradi kama huna hela?Wewe fanya siasa acha kutudanganya. Miradi isiyo nahela inafanyikaje? Nenda Mwanza kaangalie nini kinaendelea?