Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Reli ya SGR imekwamia alipoanzisha JPM...Dar Dodoma. na Isaka Mwanza. Niambie maajabu mengine ili pengine nihamie kwa Mwamposa
Una shida ya uelewa sana
1.Sections zote Zina wakandarasi na kazi inaendelea Sasa huko kukwama ndio wapi wewe msukule wa Mwendazake? 😂😂

View: https://youtu.be/MQvBEEKYNTw?feature=shared

Kazi inaendelea 👇 👇

View: https://youtu.be/QB-sV8chfIA?feature=shared

View: https://youtu.be/wKGkxpTPCcc?feature=shared

Imeishia alipoacha JPM 😁😁

Niongeze nyama au inatosha? 👇👇

View: https://youtu.be/bCrl9sCYeWQ?feature=shared
 
Ati nini? Kuwa na wakandarasi ni kitu kimoja...kazi kuendelea ni kitu kingine. Na haya mambo mawili hayahusiani
 
Back
Top Bottom