Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Pre GE2025 Dkt. Nchimbi: Maendeleo aliyoleta Rais Samia kwa miaka 3 Madarakani ni kama miujiza

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

View: https://x.com/BusInsiderSSA/status/1846204272486097300?t=9t8ZG3XF2zai_5RuM6T-Ug&s=19
Screenshot_20241016-064320.jpg
 
Nye chawa mnamlinganisha Samia na serikali za chama gani zingine, CHADEMA?

Hizo pesa anazitoa wapi za kufanyia maendeleo Kizimkazi au kodi za walipa kodi wa Tanzania?

Na serikali tena iliyofoji na kuiba kura 2020, inayoteka, kuua na kuwafunga wanaoikosoa. Serikali ya dili kama ya waziri wa kilimo kutoa vibali vya kuagizia sukari kinyume cha sheria ili waibe hela, serikali inayotumia mabilioni ya pesa za walipa kodi kununua mashangingi kila mwaka ikifanya hayo iliyofanya ni FAVOUR au RIGHT?

Chawa mnatukera mnajua ndio maana akili zenu kama Steve Nyerere au Steve Mengele.
 
Jikite kwenye hoja ya Maendeleo aliyoleta Samia badala ya kumwaga povu pipa bila sababu za msingi 👇👇

View: https://www.instagram.com/reel/DBLxkdEqzS4/?igsh=MXV4Yjg4ZGFxb210Zw==
 
Jikite kwenye hoja ya Maendeleo aliyoleta Samia badala ya kumwaga povu pipa bila sababu za msingi
Mwendawazimu huwezi kuniingiza kwenye hoja za kiendawazimu, anatoa mfukoni hizo pesa? Pili nini maana ya uongozi siyo kwenda mbele? Na ni haki au ni msaada? Usinilazimishe uchawa na kujenga hoja unamlinganisha na nani ambaye hakuleta maendeleo?

Huzungumzi na juha ujue
 
Zile ghorofa pale Kawe mbele ya Packers zinakwenda kwa kasi sana, muda sio mrefu zinamalizika.

Isingekuwa ni siasa za awamu ya tano hata zile za beach muda huu watu wangekuwa wanaishi tayari!. Yasingekuwa ni magofu yanayozidi kuchakaa.
 
Wewe juha mpumbavu nijibu huwezi kufanya kazi yako ya uchawa ukahisi unaweza kumdanganya mtu, siyo majira hii pumbavu wewe, hela zunatoka mfukoni kwake? Ni msaada anatoa? Peleka upumbavu lumumba
Punguani waheed hata akili ndogo tuu ya kufikiria kwamba Katiba yetu Ina Rais Mtendaji and so wengine woote ni wasaidizi wake na wanafanya Kwa niaba yake na ndio maana sifa na lawama ni kwake.

Iwe pesa imetoka Mbinguni au baharini au umelipa Kodi ,sifa ni Kwa Rais na Kwa muktadha huo utamwaga sana povu Kwa sababu ya kutoelewa Wala kujielewa.

Kazi nzuri ya Samia inajieleza hapa Kigoma 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DBLy6QpNQMK/?igsh=NWRxOXhlNmxneGVl

View: https://youtu.be/OqABeMeWS1U?si=fPeokHFTqybiove8
 
Back
Top Bottom