ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”