PreGE2025 Dkt Nchimbi: Rais Samia Hajigambi ana tabia kama ya Marehemu David Msuya

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”

Let her die as well!
 
Samia The Killer is no match for CD Msuya. Asiyependa sifa hawezi kuwa na umati wa chawa!
 
Tujikumbushe
Wabunge waliomba serikali iwasaidie wananchi masikini wapate elimu na matibabu bure au masharti nafuu - Msuya huyu akajibu kuwa kila raia (tajiri na masikini) atabeba msalaba wake - yaani hakuna cha bure
 
Mzee Msuya aliteleza wakati wa mjadala mkali bungeni. Tumsamehe kwani hakuna asiyekosea. Hoja ya Msuya ilikuwa kwamba kodi aliyokuwa akipendekeza ilikuwa pungufu na bei ya mkungu mmoja wa ndizi sokoni. Kipindi hicho nchi ilikuwa katika ukata mkubwa na serikali ilikuwa inasisitiza wananchi "kujifunga mkanda."
 
My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”

Samia hajigambi? Haya ya mama anaupiga mwingi angeyakataza kama hajigambi, lakini anajigamba sana huyo mama.
 
Kumlinganisha Rais na waziri mkuu mstaafu imekaaje hii sijailewa taf.
 
Wanajaribu kumsafisha huyo mama Abdul kwa dodoki, ndiyo maana wanajaribu kumfananisha na kila kitu kizuri. Bado kidogo utasikia anafanana na Nyerere.....au Margaret Thatcher.
 
My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.

Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”

Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”

PhD ya huyu mtu ,alisomea nini?
 
Huu ujumbe karushiwa mtu hapo...
Jiwe Gizani
Magu hakujikweza bali wananchi ndio walimkweza, watu walikimbilia kwenye tv kila ilipofika saa 2 usiku kutazama taarifa ya habari.. huyu wa sasa hv hotuba zake km anaongea mwenyekiti wa kitongoji..
 
Kuwa na makamu wa rais mshambamshamba kama huyu mzee ni kuliingiza taifa kwenye umbumbumbu usioisha. Anaonekana anakiwewe cha madaraka,
 
Back
Top Bottom