Let her die as well!My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”
Samia The Killer is no match for CD Msuya. Asiyependa sifa hawezi kuwa na umati wa chawa!My Take

TujikumbusheMy Take

Mzee Msuya aliteleza wakati wa mjadala mkali bungeni. Tumsamehe kwani hakuna asiyekosea. Hoja ya Msuya ilikuwa kwamba kodi aliyokuwa akipendekeza ilikuwa pungufu na bei ya mkungu mmoja wa ndizi sokoni. Kipindi hicho nchi ilikuwa katika ukata mkubwa na serikali ilikuwa inasisitiza wananchi "kujifunga mkanda."Tujikumbushe
Wabunge waliomba serikali iwasaidie wananchi masikini wapate elimu na matibabu bure au masharti nafuu - Msuya huyu akajibu kuwa kila raia (tajiri na masikini) atabeba msalaba wake - yaani hakuna cha bure
Samia hajigambi? Haya ya mama anaupiga mwingi angeyakataza kama hajigambi, lakini anajigamba sana huyo mama.My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”
Maradhi yalianza lini?Mzee Msuya alikua muwazi na mkweli
Kumlinganisha Rais na waziri mkuu mstaafu imekaaje hii sijailewa taf.My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”
Wanajaribu kumsafisha huyo mama Abdul kwa dodoki, ndiyo maana wanajaribu kumfananisha na kila kitu kizuri. Bado kidogo utasikia anafanana na Nyerere.....au Margaret Thatcher.Kumlinganisha Rais na waziri mkuu mstaafu imekaaje hii sijailewa taf.
Konacholinganishwa ni hulka na tabiaKumlinganisha Rais na waziri mkuu mstaafu imekaaje hii sijailewa taf.
Atakufa wakati wake ukifika kama wewe utakavyokufa pia.Let her die as well!
PhD ya huyu mtu ,alisomea nini?My Take
Samia haihitaji kujigamba Bali matokeo ya kazi zake ndio yatamsemea.
Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema Waziri Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya alifanya mambo mengi makubwa lakini hakupenda kujigamba tabia ambayo Dkt. Nchimbi amesema Rais wa Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan anayo kwakuwa na yeye amefanya mengi makubwa tangu ameingia madarakani lakini hajawahi kujigamba.Akiongea Jijini Dar es salaam leo May 11,2025 kwenye Ibada ya kuaga mwili wa Mzee Msuya, Dkt. Nchimbi amesema “Mh. Rais moja kubwa sana ambalo Mzee Warioba aliniambia ni jinsi ambavyo Mzee Msuya alifanya mambo mengi mazuri lakini kamwe hakuwa na tabia ya kujigamba na hili ni moja ambalo pia Rais tumejifunza kutoka kwako, kwa mambo ambayo umeyafanya kwa miaka hii mitano ungekuwa na tabia za Watu wanaojigamba nadhani nchi ingekuwa ngumu sana hii lakini tabia yako na tabia ya Mzee Msuya zinafanana”
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Ni wito wangu kwa Vijana na Wananchi wote wa Tanzania kufanya kila kilicho ndani ya uwezo wake kuitumikia nchi yale bila kujali sifa anazozipata”
Nyumbani kwakoPhD ya huyu mtu ,alisomea nini?
Ameingia kama Rais mwenye hulka ya MsuyaKwenye msiba ,Saa100 ameingiaje hapo???
Magu hakujikweza bali wananchi ndio walimkweza, watu walikimbilia kwenye tv kila ilipofika saa 2 usiku kutazama taarifa ya habari.. huyu wa sasa hv hotuba zake km anaongea mwenyekiti wa kitongoji..Huu ujumbe karushiwa mtu hapo...
Jiwe Gizani
Kama CD alikuwa mzalendo na mpenda haki akiwa waziri mkuu huoni alikuwa anafata nyayo za Mwalimu Nyerere ambaye alikuwa Rais?Konacholinganishwa ni hulka na tabia