Hiyo afya yenyewe sijui Kama ipo tena kichwani maana hata akiulizwa panadol ina mg ngapi huenda asiweze kujibu.Mama yetu aifute tu hii wizara,hizo kazi zifanywe na TCRA manake toka imeanzishwa ndo tunaletewa mara bei hatari za vifurushi mara aseme anazuia whatsapp call sijui serikali inapoteza mapato!we ulisikia wapi?
Ivunjwe hiyo huyo waziri arudi afya afterall ndo taaluma yake ilipo!
huyu alikuwa anafanyia kazi maelekezo ya JPM.Hali bado ni maumivu,menu zinasoma vifurushi vipya vya Ndungulile ndivyo vilivyopo.Huyu huyu Waziri alisisitiza kuwa wamiliki wa mitandao hawawezi kubadilisha vifurushi hadi baada ya
miezi mitatu,ndicho kinachoendelea?Hili tangazo la kurejesha vifurushi vya zamani lilitolewa lini na kuanza lini?
Hii siyo ile style ya kuanzisha tatizo ili upate umaarufu kwa kuleta utatuzi/suluhisho?
Huyu jamaa nilikuwa namkubali sana ila ameniangushaHuyu angerudishwa kule kwenye Naibu Waziri wa Afya. Hana msaada kwa hili, yupo yupo tu yaani
Ametochosha mno..!
Eti huo mpango wake mpya ni kuruhusi kushare bundle kupitia mitandao yote. Hivi hapo unategemea nini. Hata boya kama mimi naona ni matope matupu.Haiwezekani waziri unakaa na wamiliki wa mitandao ya simu mnakubaliana kitu ambacho unajua kabisa kitaiumiza jamii hasa wananchi wa hali ya chini tena zaidi wewe kama kiongozi unapigilia msumari.
Kwanza umeudanganya umma kwamba mapendekezo yenu yalikua ña unafuu kuliko ilivyokua zamani hali ambayo ndani ya siku hizi mbili imeonekana tofauti kabisa.
Waziri unataka kua chanzo cha serikali kukosa mapato kwa sababu wananchi kukata tamaa na matumizi ya vifurushi pamoja na kushindwa kufanya biashara hasa za mitandaoni.
Waziri ubunifu mzuri wa kuwasaidia wananchi imekosekanana kabisa ukiona hii hali ya unyonyaji ni sawa?
Kiongozi unajua wewe unawekewa vocha kila siku na serikali ikiwa ni pamoja vifurushi vya kutosha lakini hawa wa hali ya chini hujui ilivyo shida kuipata.
Kilio kikubwa cha awali kwa wananchi ilikua ni matumizi ya vifurushi kutokua na mipaka ya muda inayoeleweka au kusemana uwiano sawa wa muda pamoja na na na kiwango cha pesa kilichotumika kujiunga. Badala ya kuja na suluhisho hili matokeo yake mmekuja na maumivu zaidi.
Tunaishukuru serikali chini yaRais Mama yetu mpendwa sana Mhe Samia Suluhu Hassan wameliona hili na kuelekezwa mpango huo usitishwe. Hapa ndi dalili za kwamba unatakiwa kusaidiwa kazi, kabla ya kusaidiwa ingeanza kuikabidhi ofisi mapema kujiuzulu.
Nakujibu kistaarabu kwa sababu Mimi ni mstaarabu lakini hukustaili ustaarabu.Hadi sasa sielewi
Anayepanga bei za vifurushi ni waziri?
Akijisahau akumbushwe kuandika barua kabla ya Pasaka.Itakuwa anasubiri Kwanza Kampuni zote za Simu zimalize Kurejesha Vifurushi vile nafuu vya Awali ( kama ilivypamriwa Jana jioni na TCRA ) ndipo nae afungashe Virago vyake.
Alipokuwa Naibu Waziri wa Afya, alipambana vilivyo kwenye kupinga kujifukiza na barakoa za vitambaa nikaona kwa vile ni taaluma yake kasomea.Huyu jamaa nilikuwa namkubali sana ila ameniangusha
Ahadi ni deni, rudi nyuma miezi michache kwenye ahadi ya Waziri utamuelewa tu mdau hapo juu.Hadi sasa sielewi
Anayepanga bei za vifurushi ni waziri?
Ahahahaaaa inawezekana akili yenyewe ndio haipo mkuu. Hapo lazima matokeo yawe kama hivi.Eti huo mpango wake mpya ni kuruhusi kushare bundle kupitia mitandao yote. Hivi hapo unategemea nini. Hata boya kama mimi naona ni matope matupu.
Kwa mfano halotel 1 GB ni 1000 halafu voda 1 GB ni 2000 Eti unaweza kununua bundle halotel halafu unashare na vodacome. Hivi hapo unategemea nini.
Serikali saa nyingine iwe inatumia akili!!
Tcra hii ya kilaba? Huwa anashauri waziri au anatangaza tu?Kampuni za simu zinakuwa regulated na TCRA! TCRA ipo chini ya Wizara ya Mawasiliano na...." Wizara ya Mawasiliano inaongozwa na Ndungulile. Kutokana na mlolongo huo, kampuni za simu haziwezi kupandisha gharama za vifurushi pasipo na baraka ya TCRA! Na TCRA haiwezi kutoa baraka kwa kampuni za simu pasipo na baraka za waziri husika!
Thank you kwa ustaarabuNakujibu kistaarabu kwa sababu Mimi ni mstaarabu lakini hukustaili ustaarabu.
Huyu aliyeandika kanuni ni Nani?View attachment 1741902
Tuliahidiwa na nyerere, mwinyi, mkapa, jakaya na magu virus vingi SanaAhadi ni deni, rudi nyuma miezi michache kwenye ahadi ya Waziri utamuelewa tu mdau hapo juu.