crocodile
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,860
- 2,957
Ungebaki kwenye mada ya vifurushi mambo yangekuwa rahisi zaidi.Tuliahidiwa na nyerere, mwinyi, mkapa, jakaya na magu virus vingi Sana
VipiVipi
Ungebaki kwenye mada ya vifurushi mambo yangekuwa rahisi zaidi.Tuliahidiwa na nyerere, mwinyi, mkapa, jakaya na magu virus vingi Sana
VipiVipi
AJIUZULU KAZI IMEMSHINDA NA AMETUDANGANYA WANANCHIHaiwezekani waziri unakaa na wamiliki wa mitandao ya simu mnakubaliana kitu ambacho unajua kabisa kitaiumiza jamii hasa wananchi wa hali ya chini tena zaidi wewe kama kiongozi unapigilia msumari.
Kwanza umeudanganya umma kwamba mapendekezo yenu yalikuwa ña unafuu kuliko ilivyokua zamani hali ambayo ndani ya siku hizi mbili imeonekana tofauti kabisa.
Waziri unataka kuwa chanzo cha serikali kukosa mapato kwa sababu wananchi kukata tamaa na matumizi ya vifurushi pamoja na kushindwa kufanya biashara hasa za mitandaoni.
Waziri ubunifu mzuri wa kuwasaidia wananchi imekosekanana kabisa ukiona hii hali ya unyonyaji ni sawa?
Kiongozi unajua wewe unawekewa vocha kila siku na serikali ikiwa ni pamoja vifurushi vya kutosha lakini hawa wa hali ya chini hujui ilivyo shida kuipata.
Kilio kikubwa cha awali kwa wananchi ilikua ni matumizi ya vifurushi kutokua na mipaka ya muda inayoeleweka au kusemana uwiano sawa wa muda pamoja na na na kiwango cha pesa kilichotumika kujiunga. Badala ya kuja na suluhisho hili matokeo yake mmekuja na maumivu zaidi.
Tunaishukuru serikali chini yaRais Mama yetu mpendwa sana Mhe Samia Suluhu Hassan wameliona hili na kuelekezwa mpango huo usitishwe. Hapa ndi dalili za kwamba unatakiwa kusaidiwa kazi, kabla ya kusaidiwa ingeanza kuikabidhi ofisi mapema kujiuzulu.
Matokeo yake wameliweka lijitu la ajabu zaidi.Mlimpigania sana huyu dhidi ya Makonda, basi acheni kulialia.... kaeni kwa kutulia awanyooshe.
Anakin na ubunge! Yaani huyu asibaki na kitu!Huyu jamaa huwa ana kiburi sjawahi ona, roho mbaya sana, sijajua huwa ana tatizo gani kichwani!
Yaani bora abaki na ubunge tu!
Umemjibu vema na kwa ushahidi,tatizo ni maagizo kutokutekelezwa.Watoa huduma wanatumia mwanya wa ulegevu wa kuchukua hatua kujinufaisha.Pia hapo panaweza kuwa aina ya upigaji.Maumivu Siku zote yanawakuta Wananchi wa kipato cha chini na hautasikia fidia.Hizo figisu walianzisha wao wanaopata hasara hawana pa kusemea na kudai Haki zao.Nakujibu kistaarabu kwa sababu Mimi ni mstaarabu lakini hukustaili ustaarabu.
Huyu aliyeandika kanuni ni Nani?View attachment 1741902
Kweli kabisa,aifute hii wizara ni kujiongezea matumizi yasiyo ya lazima.Mama yetu aifute tu hii wizara,hizo kazi zifanywe na TCRA manake toka imeanzishwa ndo tunaletewa mara bei hatari za vifurushi mara aseme anazuia whatsapp call sijui serikali inapoteza mapato!we ulisikia wapi?
Ivunjwe hiyo huyo waziri arudi afya afterall ndo taaluma yake ilipo!
Context mkuuUngebaki kwenye mada ya vifurushi mambo yangekuwa rahisi zaidi.
Nimekusoma..Context mkuu
Huwezi kudai kichwa Cha waziri
Ukasahau mfumo
Thanks mkuuNimekusoma..
Unafatilia habari lakini au ww ni udaku tu!! Kila siku unataka kujua Wema ana bwana gani🙄. Huwezi jua waziri kahusika vipHadi sasa sielewi
Anayepanga bei za vifurushi ni waziri?
Unafatilia habari lakini au ww ni udaku tu!! Kila siku unataka kujua Wema ana bwana gani🙄. Huwezi jua waziri kahusika vipHadi sasa sielewi
Anayepanga bei za vifurushi ni waziri?
Uyu ni wakujiuzulu tu, ivi kwani uwaziri hauendani na elimu aliyosoma, Dr, wabinadamu anaenda kuwa waziri wa ICTAnaweza asimtoe, ila akampa ONYO tu.
Na kwa kauli yake alitudhibitshia kuwa gharama zitashuka.Kampuni za simu zinakuwa regulated na TCRA! TCRA ipo chini ya Wizara ya Mawasiliano na...." Wizara ya Mawasiliano inaongozwa na Ndungulile. Kutokana na mlolongo huo, kampuni za simu haziwezi kupandisha gharama za vifurushi pasipo na baraka ya TCRA! Na TCRA haiwezi kutoa baraka kwa kampuni za simu pasipo na baraka za waziri husika!
Haiwezekani waziri unakaa na wamiliki wa mitandao ya simu mnakubaliana kitu ambacho unajua kabisa kitaiumiza jamii hasa wananchi wa hali ya chini tena zaidi wewe kama kiongozi unapigilia msumari.