Dkt. Ndungulile, hutaki kujiuzulu au unasubiri usaidiwe kazi?

AJIUZULU KAZI IMEMSHINDA NA AMETUDANGANYA WANANCHI
 
Mlimpigania sana huyu dhidi ya Makonda, basi acheni kulialia.... kaeni kwa kutulia awanyooshe.
 
Hivi wana sababu gani za msingi kubadili gharama kutoka zile tulizokuwa tunatumia muda mrefu.
Yaani bado sielewi.
 
Nakujibu kistaarabu kwa sababu Mimi ni mstaarabu lakini hukustaili ustaarabu.
Huyu aliyeandika kanuni ni Nani?View attachment 1741902
Umemjibu vema na kwa ushahidi,tatizo ni maagizo kutokutekelezwa.Watoa huduma wanatumia mwanya wa ulegevu wa kuchukua hatua kujinufaisha.Pia hapo panaweza kuwa aina ya upigaji.Maumivu Siku zote yanawakuta Wananchi wa kipato cha chini na hautasikia fidia.Hizo figisu walianzisha wao wanaopata hasara hawana pa kusemea na kudai Haki zao.
Watawala wetu wanatuchezea kama midoli yao na kufanyia majaribio yao ya ukatili dhidi ya Wananchi. Aibu yao kina Ndungulile&co.
 
Kweli kabisa,aifute hii wizara ni kujiongezea matumizi yasiyo ya lazima.
Huyo mbunge akawatumikie wapiga kura wake Kigamboni
 
Huyu mbwa kwa kutudanganya na kutufanya wajinga, basi inampasa ajiuzuru haraka iwezekavyo.

Sasahivi hatuna imani nae Tena katika hii idara.
 
Hadi sasa sielewi

Anayepanga bei za vifurushi ni waziri?
Unafatilia habari lakini au ww ni udaku tu!! Kila siku unataka kujua Wema ana bwana gani🙄. Huwezi jua waziri kahusika vip
 
Ikitokea kura za maoni ccm leo wakifanya kule kigamboni kuhusu ubunge na makonda akachukua fomu
Naamini atashinda
 
Hadi sasa sielewi

Anayepanga bei za vifurushi ni waziri?
Unafatilia habari lakini au ww ni udaku tu!! Kila siku unataka kujua Wema ana bwana gani🙄. Huwezi jua waziri kahusika vip
 
Natamani sana Mama Samia amsaidie tu mana hakuna alichosaidia bali ni kutupiga,bora tuendelee kupigwa mwanzo lakini sio baada ya waziri kuingilia
 
Na kwa kauli yake alitudhibitshia kuwa gharama zitashuka.
Asimuharibie RAIS SHH ajiuzulu.
 
M

Mimi na kuwa kada kindaki ndaki hili la Vifurushi wamekosea sana. Haiwezekani watu wanashindwa kufikiri nje ya Box. VAT kwenye Vifurushi ipo, wanataka nini kingine? Wangebuni hata kuongeza senti kadhaa na si hiki walichofanya. Natamani watanzania tugomeee Mitandao ya Simu kabisaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…