Dkt. Ndungulile, hutaki kujiuzulu au unasubiri usaidiwe kazi?

Sijui kwanini walimpa huku kwenye mawasiliano mtu alisoma MD.

Kweli wameshindwa kuwapa watu wa telecommunication wamejaa chungu nzima wameenda kumpa Ndugulile anafanya madudu tu
 
bora hata angepata Makonda linajulikana ni bovu,siyo huyu mnaa
 
Tcra hii ya kilaba? Huwa anashauri waziri au anatangaza tu?

Kwani ewura wanapotangaza bei za mafuta guess waziri anapitisha?
Kupanda na kushuka kwa bei ya mafuta ni tofauti na vifurushi kwa sababu kupanda na kushuka kwa bei ya mafuta kunategemeana na kupanda na kushuka kwenye soko la dunia! So, kama shehena mpya imenunuliwa kwa bei ya juu tofauti na ya awali, automatically EWURA wanatoa bei elekezi! Na bei soko la dunia ikishuka, wanafanya hivyo hivyo!!!
 
Ngoja tumtumbue kabisa
 
Humjui Wema

Humjui mtu ka Faustine Ndugulile wewe unajua nini kichwani?
Namjua faustine Ila sijui wema bank unamzunguzia we kende

You are such a stupid piece of shit
 
inavyoonekana haya makubaliano yaliafikiwa wakati Dr Magu akiwa bado yu hai, hivyo kwa kubadilika ghafla kwa utawala na mwenendo wa mrithi kuwa tofauti na mtangulizi wake hakukuwa na muda wa kufanya mabadiliko.
 
1MB = 8Mb

1 megabyte ni sawa na 8 megabits

Si ajabu waziri na TCRA walipewa bei za vifurushi in terms of Mb afu mitamdao imeimplement the same values in MB hibyo kuwa 8 times more expensive

Mfano nikikupa 1Gb ni sawa na 125MB tu sio 1000MB
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…