Kuna wengine kwenye gazeti la Tanzania Business Insight limewaweka hawa hapa including Dr Kigwangalla, Dr Mpoki, Dr Ellen Senkoro, Dr Kapologwe, Prof JanabiApelekwe Dr. Hamis Shabani Taletale aka Babu Tale
Tumchaguo huyo nimewaambieni mkuu, hatutajutaMkuu huu mzaha ni kiwango cha chekechea
Wanaleta masikhara tu hao. Hapo nawaona wawili tuKuna wengine kwenye gazeti la Tanzania Business Insight limewaweka hawa hapa including Dr Kigwangalla, Dr Mpoki, Dr Ellen Senkoro, Dr Kapologwe, Prof Janabi
View attachment 3168278 Ila hapa nafikiri ni Kigwangalla kaandika article na kupeleka gazetini ili KUJIFAGILIA
Nami namuunga mkono huku nikiuliza, je, hakuna wengine kwanza tukawajua ndio tupendekeze?Twende na huyu Daktari maana tayari yuko kwenye mfumo. Naunga mkono hoja
Mama yake ni mgogoNafikiri mchagga nu mumewe, lakini nayo hiyo siyo issue kwa kuwa Wachagga kwenye international organizations wako longtime
Kuna majina ya kihaya na kichaga hapo sasa hatujui labda kwa upande wa wazazi au mume wake.
Mchaga-kimamboKwa sasa huyu ni kabila gani hadi akigombea awe mçhaga¿
Rusibamayila uchagani wapi na wapiMhhhh mchaga hawezi kupewa kwq vyovyote vile
Rusibamayila uchagani wapi na wapi
Wanawachukia wachaga na kuwabania bila sababu za msingiMhhhh mchaga hawezi kupewa kwq vyovyote vile
Umelielewa swali langu? Maana nimeuliza.Walete hao wengine na sifa zao tulinganishe
Ok sawaJina halijakaa kihaya hilo.
Ukabila utakuuwa. Neema alikuwa mchaga lini? Unamjua?Mhhhh mchaga hawezi kupewa kwq vyovyote vile
Kampeni zimepamba moto.View attachment 3168145
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.
Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka 2015 lakini yeye aliyafikia mwaka 2013. Hivyo Rais JK akaalikwa kwenye mkutano wa UNGA kwa ajili ya kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa.
Kama kweli Rais Samia anataka nafasi hii ibakie Tanzania, basi hiyu dada ambaye ni same class na Ndugulile (RIP), basi ndiye anafaa kuliko Mtanzania mwingine yeyote.
Mhangaza wa Ngara huyo.Ukabila utakuuwa. Neema alikuwa mchaga lini? Unamjua?
By the way ungesoma jina lake vizuri ungejua si mchaga
Mume wake nadhani ni mchaga, jina Kimambo. Huyo dada ni mhangaza wa Ngara.Kuna majina ya kihaya na kichaga hapo sasa hatujui labda kwa upande wa wazazi au mume wake.