Dkt. Neema Rusibamayila Kimambo: Huyu ndiye anafaa kugombea nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ndugulile

Dkt. Neema Rusibamayila Kimambo: Huyu ndiye anafaa kugombea nafasi iliyoachwa wazi na Dkt. Ndugulile

Apelekwe Dr. Hamis Shabani Taletale aka Babu Tale
Kuna wengine kwenye gazeti la Tanzania Business Insight limewaweka hawa hapa including Dr Kigwangalla, Dr Mpoki, Dr Ellen Senkoro, Dr Kapologwe, Prof Janabi

Screenshot_20241203_203128_WhatsApp.jpg
Ila hapa nafikiri ni Kigwangalla kaandika article na kupeleka gazetini ili KUJIFAGILIA
 
Kuna wengine kwenye gazeti la Tanzania Business Insight limewaweka hawa hapa including Dr Kigwangalla, Dr Mpoki, Dr Ellen Senkoro, Dr Kapologwe, Prof Janabi

View attachment 3168278 Ila hapa nafikiri ni Kigwangalla kaandika article na kupeleka gazetini ili KUJIFAGILIA
Wanaleta masikhara tu hao. Hapo nawaona wawili tu
 
View attachment 3168145
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.

Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.

Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka 2015 lakini yeye aliyafikia mwaka 2013. Hivyo Rais JK akaalikwa kwenye mkutano wa UNGA kwa ajili ya kupokea tuzo ya Umoja wa Mataifa.

Kama kweli Rais Samia anataka nafasi hii ibakie Tanzania, basi hiyu dada ambaye ni same class na Ndugulile (RIP), basi ndiye anafaa kuliko Mtanzania mwingine yeyote.
Kampeni zimepamba moto.
 
Back
Top Bottom