TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

Soon wataitoa hii habari....maana habari za corona zipo estricted sana hapa jukwaani..ni hatari kuu japo wanajifanya vipofu
 
Morogoro. Miili ya wanandoa, Profesa Delphina Mamiro aliyekuwa mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Sokoine (Sua) na Dk Peter Mamiro imesafirishwa leo Alhamisi Februari 11, 2021 kwenda mkoani Kilimanjaro kwa mazishi....
Mungu awape faraja na nguvu waliofiwa na alaze mahali pema peponi waliotangulia.

So sad jamani
 
Hii ni balaa
FB_IMG_1613084302573.jpg
 
Nenda US taifa tajiri kwa ambako hawafi na corona. Corona wao wanaisikia inaua Tanzania tu.

Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
Acha utani tafadhali sio lazima uchangie.

Marekani wana kufa wengi, zaidi ya laki 4 sasa hivi na wana weka wazi kila siku. Ndio maana wameangaika kutafuta chanjo na wanawapa chanjo raia wao. Na pia wanaomba Mungu kitu ambacho kikubwa kimekukera kwenye dua yangu.

Peleka uchawi wako kwingine, watu wanapoteza maisha na tuko huru kuomba dua. Dua ndio chanjo yetu.
 
Hii taarifa imeandikwa na NWANANCHI ONLINE uongo upo wapi? Acha upimbi kujifanya mjuaji
Sio kweli mkuu...naongea haya marehem Mamiro alikua jirani yangu mm..wamezusha mno had kero...dreva yupo mzima na wanaye wazima

Alipotoka Moshi ile ndinga yake ikaanza leta zengwe...ikawa inazima tu road bila sababu... fundi kuichek akasema haina hitilafu yyt kifupi walirud Moro kwa mbinde sana..had ilibidi ivutwe..fika getini ikawaka...wanadai haikua ishara nzuri..soo painful,
 
Back
Top Bottom