TANZIA Dkt. Peter Mamiro afariki dunia zikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe(Prof. Delphina Mamiro) afariki dunia

Hivi unaelewa kwamba wewe unafahamu kuhusu uwepo wa huyu dudu kwa sababu unatembelea social networks kama JF au Twitter?! Ulishapata kujiuliza wale ambao source yao ya habari ni TBC, ITV, Radio One and the like wanapata wapi taarifa?! Hivi kwa uelewa yako habari inayorushwa na hivyo vyombo ni ile ya Magufuli na yule Mama Chizi wanaosema Corona hamna au habari inayosema watu wanakufa kwa korona? Hivi unapopita mitaani unakuta watu wamechukua tahadhali?
Kwa akili zako za kawaida, ni kwanini serikali imeweka sheria kwamba nje ya maduka yote lazima pawe na ndoo ya maji tiririka na sanitizer? Sasa hata kama huna JF si utauliza kwamba kwanini kila mahali kuna ndoo za maji na sabuni?
 
Tunduma;
Idadi ya watu imepungua katika masoko hasa Wazambia ambao hufanya shopping nyingi upande wa Tz na baadhi ya waTanzania wamechukua tahadhari kwa kupunguza matembezi yasiyo ya lazima.
Muhimbili national Hospital.
Kama kuna mtu amechukua mwili wa mpendwa wake pale hospitali ya taifa ya Muhimbili na kwenye risiti yake amelipia kitu kinaitwa COVID PAC (dawa zinazoia mwili wa marehemu kuambukiza wengine COVID) basi ajue tahadhari tayari zipo kitaaluma.

Tuchukue hatua namnukuu Rais alisema "waliochanjwa nje wametuletea corona ya ajabu" means ipo sasa wewe neng'eneka ovyo ovyo.
 
Nani anajiita hivyo?Umemsikia siku yoyote anajiita hivyo?
Halafu kuna mtu anajiita Conforter in Chief anasema hakuna Corona, bado wasukuma wenzake alowakabidhi afya wanasema barakoa ni za TB!
 
Jukumu lako individually my foot
Dawa ya huu ugonjwa ni kwa kila mtu kuchukua tahadhari sio kusubiri upewe maelekezo............ Epuka mikusanyiko, vaa barakoa inapobidi .... ni kanuni tu za afya. Ila ni jukumu lako individually...............
 
  • Thanks
Reactions: Mj1
Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA.

Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kwamba siku chache zilizopita, Dkt. Peter na Profesa Delphina walitoka Kilimanjaro kuwazika wazazi wawili (Mchungaji Kessy na mkewe) wa Profesa Delphina ambao nao vifo vyao vilifuatana.

Inadaiwa baada ya kurudi Morogoro hali ikuwa mbaya mpaka umauti unawakuta.

Mwenyezi Mungu aipe nguvu na faraja familia hii inayopitia majaribu haya yote.

Pia soma: TANZIA - Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA) afariki dunia

Maandiko yametimia kweli

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mkae mkijua huku mtaani watu tunaumwa/ tumeumwa na kupona kwa uwezo tu wa Mungu.
Pengine kwakuwa ni vijana kinga zipo vzuri ndo maana tumetoboa lakini ikiwakuta wazee wetu hali ndo inakuwa mbaya zaidi, kinachouma ukiwaelekeza jamii kujilinda wanakwambia Serikali haijasema kama kuna corona.
Roho inaniuma nikizangatia nimenusurika kukata moto wiki iliyopita tu hapo.
Pole kwa familia ya marehemu Mwenyez Mungu awape nguvu.
 
Kwa akili zako za kawaida, ni kwanini serikali imeweka sheria kwamba nje ya maduka yote lazima pawe na ndoo ya maji tiririka na sanitizer? Sasa hata kama huna JF si utauliza kwamba kwanini kila mahali kuna ndoo za maji na sabuni?
Na wewe, unaenda kwa Mangi unakuta ndoo ya maji halafu unaenda kwenye TV unamsikia JPM au Waziri wa Afya wanasema hakuna corona, acheni kuwatisha watu; kwa akili yako unadhani mtu wa kawaida atamsikiliza nani?! Btw, unazungumzia maduka ya wapi hasa?! Yale baadhi ya maduka yaliyopo mitaa ya Posta, au?! Acheni kutetea ujinga nyie watu! Ni wapi huko ambako kila unakopita unakuta ndoo za maji?! Umeshawahi kupanda daladala?!
 
Hii new strain from South Africa c mchezo, ndio inayotutafuna sasa.
Nahisi hii new strain haijatoka SA bali ilianzia hapa ndio ikagundulikia SA si unajua maabara yetu kuna kipindi walikuwa wako busy kupima mapapai,mbuzi & oil chafu
 
Na wewe, unaenda kwa Mangi unakuta ndoo ya maji halafu unaenda kwenye TV unamsikia JPM au Waziri wa Afya wanasema hakuna corona, acheni kuwatisha watu; kwa akili yako unadhani mtu wa kawaida atamsikiliza nani?! Btw, unazungumzia maduka ya wapi hasa?! Yale baadhi ya maduka yaliyopo mitaa ya Posta, au?! Acheni kutetea ujinga nyie watu! Ni wapi huko ambako kila unakopita unakuta ndoo za maji?! Umeshawahi kupanda daladala?!
Kwani unapoambiwa uchumi unakuwa kwa 7% unadhani ni kwa kuwaambia watu jifungieni ndani au ni kwa kuwaambia wafanye kazi, hivi mnapotoa ubongo kichwani na kujaza funza huwa mnapata faida gani?
Kila siku wizara ya afya inatangaza kwenye maredio hadi zile radio mbao, kwamba watu wanawe mikono na kuepuka mikusanyiko, hadi TBC1 huwa inatangaza sana, tatizo hamtaki kusikiliza radio na TBC1 mnakazana mitandaoni tu, nani aje akutangazie mtandaoni wakati wenye smartphone wachache ukilinganisha na wenye radio mbao, sikiliza redio utajua kwamba wananchi wanatangaziwa sana tu. Ila kamwe, usitegemee Rais au Waziri yeyote yule aje akwambie kwamba kuna Corona, madhara yake ni mara 1000 ya faida, leo US wanapitisha Corona support bill ya matrilioni kwa matrillioni ili kuwasaidia wananchi walioathirika kiuchumi, sisi tutaweza??!! Mbona mnakuwa kama wendawazimu wakati ni watu wazima na akili zenu, mnamatatizo gani nyie....???!!!!!
 
Jamani tutaisha. Mi wiki sasa mwili hauna nguvu, mchovu na juzi hata kupumua ilikuwa shida sana ila naendelea vema maana kidogo ni mtu wa mazoezi.
Mimi nimepona last week ila imenisumbua bahati sikufikia kubanwa pumzi..napigaga zoezi pia...saiz wife nae inampelekesha ila nashukuru anaendelea poa
 
Nahisi hii new strain haijatoka SA bali ilianzia hapa ndio ikagundulikia SA si unajua maabara yetu kuna kipindi walikuwa wako busy kupima mapapai,mbuzi & oil chafu
We turned a world laughing stock.
 
Nahisi hii new strain haijatoka SA bali ilianzia hapa ndio ikagundulikia SA si unajua maabara yetu kuna kipindi walikuwa wako busy kupima mapapai,mbuzi & oil chafu
Pengine mabeberu wangeipa jina letu kama mbinu ya vita wanayopigana na sisi
 
Inafika peak na kushuka kama kuna hatua zozote zinafanyika kujikinga na kuzuia, je unaona kuna hilo. Phase ya kwanza tulifanya haya vizuri sana ndio maana ilipungua, halafu tukajidanganya kuwa maombi yametuokoa. Kikubwa nchi na serikali yote ilifanya kampeni kubwa na kujikinga.
Inafika peak yaani vifo vinawapata wale 5% wote ambao wangeweza kufa wanakufa..., in the end hii issue itakupata popote ulipo...., social distance inasaidia ili wengi kwa wakati mmoja wasipate ugonjwa hence taasisi hospitali zisizidiwe kwa wale watakaohitaji msaada wa hospitali..., sasa huenda wewe ukienda hospital ukakuta hakuna ventilator au msaada wowote ni kwamba utakufa wakati huenda usingekufa....

Na sababu chanjo hatutaki wala ya kwetu hatupo kwenye harakati za kutengeneza basi ni kwamba watakaokufa watakufa na watakaobaki watabaki...., na ikija kivingine tena na sio 5% ni asilimia kubwa zaidi....,
 
Kwa akili zako za kawaida, ni kwanini serikali imeweka sheria kwamba nje ya maduka yote lazima pawe na ndoo ya maji tiririka na sanitizer? Sasa hata kama huna JF si utauliza kwamba kwanini kila mahali kuna ndoo za maji na sabuni?

Inafika peak yaani vifo vinawapata wale 5% wote ambao wangeweza kufa wanakufa..., in the end hii issue itakupata popote ulipo...., social distance inasaidia ili wengi kwa wakati mmoja wasipate ugonjwa hence taasisi hospitali zisizidiwe kwa wale watakaohitaji msaada wa hospitali..., sasa huenda wewe ukienda hospital ukakuta hakuna ventilator au msaada wowote ni kwamba utakufa wakati huenda usingekufa....

Na sababu chanjo hatutaki wala ya kwetu hatupo kwenye harakati za kutengeneza basi ni kwamba watakaokufa watakufa na watakaobaki watabaki...., na ikija kivingine tena na sio 5% ni asilimia kubwa zaidi....,

Ni tofauti na magonjwa mengine... wewe unaongelea herd immunity. kutafuta herd immunity kwa pandemic ni kitu hakiwezekani. Haswa kama sisi ambao hakuna mkakati wowote wa kujikinga, tutakufa kama kuku.
 
Habari mbaya ya kusikitisha ni kuwa Dkt. Peter Mamiro amefariki dunia usiku wa kuamkia leo mkoani Morogoro ikiwa zimepita siku mbili tokea mkewe, Profesa Delphina Mamiro afariki dunia. Dkt. Peter Mamiro na Profesa Delphina Mamiro walikuwa wanafundisha Chuo cha Kilimo Sokoine - SUA.

Habari za kuaminika kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema kwamba siku chache zilizopita, Dkt. Peter na Profesa Delphina walitoka Kilimanjaro kuwazika wazazi wawili (Mchungaji Kessy na mkewe) wa Profesa Delphina ambao nao vifo vyao vilifuatana.

Inadaiwa baada ya kurudi Morogoro hali ikuwa mbaya mpaka umauti unawakuta.

Mwenyezi Mungu aipe nguvu na faraja familia hii inayopitia majaribu haya yote.

Pia soma: TANZIA - Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo(SUA) afariki dunia

He was such a nice guy
Mungu awarehemu Dr Mamiro na Mama Mamiro
 
Kabisa!

Back
Top Bottom