Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Enhe vipi huko eneo la tukio. Huyu bwana ameonekana?
Kiongozi wa watu wote ukimbinafsisha na kuwa wa chama chako tu hicho ndicho utakipata, usimlaumu mtu jilaumu mwenyewe.Watanzania mmekua na roho mbaya...kusubiria taarifa mbaya...
Mungu ni mwema kila wakati...
Utakipata nini kwani huyu baba amefanyaje?.Tangu magufuli amtoe kwny oksijeni kuja kuongea na vyombo vya habari sitakaa nisahau niliumia sana...ile video ni mbaya mno..so sisi tunamuombea afya njema Maombi mabaya juu yake yasifanikiwe...Kiongozi wa watu wote ukimbinafsisha na kuwa wa chama chako tu hicho ndicho utakipata, usimlaumu mtu jilaimu mwenyewe.
Leo ni Tarehe 6 December watafiti wa TAWIRI mlio humu tuelezeni kama mmemuona makamu wa rais wa JMT.Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
Nisingemruhusu babangu kwenda mbele ya kamera na cannula mkononi.Huyo uliyemtaja angekuwa ni baba yako ungeandika kuwa alitolewa kwenye oxygen na kwamba alikuwa anakohoa Kila baada ya sekunde mbili kiasi Cha kushindwa kueleweka ?!?! Stupid to the core
Watakua wameogopa na kumtoa mafichoni? Unajua kiongozi mtindo wa magufuli fisadi wanaweza kumkaba juu kwa juu kwenye maikulu yao akaishia.Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
🤣🤣🤣🤣Ngoja niwaulize walinzi wa ukumbi.
take home msg ni ipi hapa/Sisi wengine siyo watu tunaopenda kuzunguzunguka, bali hupenda mambo yaliyonyoka.
Ni ukweli kuwa kumekuwa na tetesi kuwa Makamu wa Rais anaumwa sana, na wengine kusema ameenda nje ya nchi kutibiwa. Lakini baadaye Waziri Mkuu akasema kuwa Makamu wa Rais yupo Marekani kwa shughuli za kikazi. Taarifa ambayo ilitiliwa mashaka na wengi.
Na sisi wengine tulihoji, kama kweli Makamu wa Rais anaumwa kwa nini umma usiambiwe? Maana kuugua kwa mwanadamu ni jambo la kawaida, na hakuna mtu hata mmoja ambaye anaweza kusema kuwa yeye hawezi kuugua au hataugua. Ni sawa tu na kifo. Kama mtu anaumwa, kwa nini usisemwe ukweli? Hivi unajisikiaje mtu akikuficha kukudanganya juu ya habari ya kuugua kwa ndugu au rafiki yako? Kiongpzi wa nchi, katika ngazi ya Taifa ni kama kiongozi wa familia, katika ngazi ya familia. Kama kweli kiongozi wa familia anaumwa, kwa nini wanafamilia wasiambiwe ukweli? Waliokuwa wanahoji ili kuupata ukweli wana kosa gani?
Kuna watu, ambao mimi nawaita ni wajinga, wakageuza habari na kusema kuwa wanauuliza kupata uhakika juu ya taarifa za kuwa Makamu wa Rais anaumwa, eti wanamwombea mabaya Makamu wa Rais!
Huu ni uwongo mkubwa. Ni kutaka kupeleka ujumbe wa uwongo hata kwa Makamu wa Rais mwenyewe kuonesha kuwa kuna watu wanamchukia kiasi cha kumwombea mabaya. Jambo ambalo siyo kweli hata kidogo.
Mimi binafsi naamini kuwa Makamu wa Rais Dr. Mpango ni kati ya watu wanaoweza kuwa na maadui wachache sana, kama wapo. Dr. Mpango, hata ukiacha masuala ya uongozi, kwa hulka yake binafsi, ni mtu asiye na makuu, tena anayeamini, mtu kuwa kiongozi hakujabadilisha ubinadamu wake. Mtu wa namna hii, watu wamwombee mabaya kwa sababu gani?
Tumesikia Makamu wa Rais, Dr. Mpango atakuwa mgeni Rasmi leo kwenye tukio moja huko Arusha. Kama alikuwa anaumwa na sasa amepona, au amepata nafuu, au hakuwa anaumwa, naamini ni habari njema kwetu sote.
Tunajua Dr. Mpango alipitia changamoto kubwa ya kiafya wakati wa covid 19, tena wakati wa kipindi kigumu, tulichoshuhudia kuondoka kwa viongozi wengi wakubwa na baadhi ya jamaa zetu, lakini Mungu alimnusuru Dr. Mpango. Basi kwa huruma na mapenzi yake Mungu wetu wa rehema, azidi kumjalia afya njema na maisha ya furaha na amani.
Sisi wengine siyo watu tunaopenda kuzunguzunguka, bali hupenda mambo yaliyonyoka.

Kasuti kangu nako kameanza kupata vumbi hapa kwenye kibanda cha walinzi, nitasubiri tu nikiona vipi nitaingia ukumbini moja kwa moja kwenye kiti cha mgeni rasmi.🤣🤣🤣🤣
Piga ban bana saa 6 hii kama kaonekana hukoNa ukipigwa ban uanze lawama siyo!
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
Kongole ndugu Bams kwa andiko bora kabisa.Sisi wengine siyo watu tunaopenda kuzunguzunguka, bali hupenda mambo yaliyonyoka.